Sura yako halisi imekuwa uchi sasa🤣🤣🤣Kaka tuiombee simba mazuri, maana inawezekana wakawa ndio wawakilishi pekee
Si dhani kama tunaweza fika huko mbele
We kolo nenda kampikie uji mama yako..sheeenzi usituletee wangaNaanza kuamini kuwa tunamtegemea sana mayele, ndio maana timu letu bovu
Unankumbusha mwaka Jana mkuu,tulipigwa nje na ndani tulisingizia usajili wa Mayele ulicheleweshwa,in short sis ni malalamiko fcTunge sare bila kuwepo Kisinda na Morrison lawama zingeenda TFF kuwa maamuzi yao yamechangia tupate matokeo haya.
Lakini wote walikuwepo sasa tumeanza kutafuta mchawi sisi kwa sisi
Wachawi viongozi na benchi la ufundiTunge sare bila kuwepo Kisinda na Morrison lawama zingeenda TFF kuwa maamuzi yao yamechangia tupate matokeo haya.
Lakini wote walikuwepo sasa tumeanza kutafuta mchawi sisi kwa sisi
"Kushonda" mwenye kuujua huu msamiati anisaidieOndoa shaka yanga anaenda kushonda Sudan na kutinga hatua ya makundi