Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Kaka tuiombee simba mazuri, maana inawezekana wakawa ndio wawakilishi pekee
Si dhani kama tunaweza fika huko mbele
Sura yako halisi imekuwa uchi sasa🤣🤣🤣
 
Ondoa shaka yanga anaenda kushonda Sudan na kutinga hatua ya makundi
 
Mimi ni Yanga damu lakini kwa huu utopolo tunaoonyesha wa kushinda ligi za ndani tu

By the way tukakomae Sudan tukapindue meza
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mtani una wenge had unasahau kuwa senzo hayupo yanga
 
Tunge sare bila kuwepo Kisinda na Morrison lawama zingeenda TFF kuwa maamuzi yao yamechangia tupate matokeo haya.

Lakini wote walikuwepo sasa tumeanza kutafuta mchawi sisi kwa sisi
Unankumbusha mwaka Jana mkuu,tulipigwa nje na ndani tulisingizia usajili wa Mayele ulicheleweshwa,in short sis ni malalamiko fc
 
Tunge sare bila kuwepo Kisinda na Morrison lawama zingeenda TFF kuwa maamuzi yao yamechangia tupate matokeo haya.

Lakini wote walikuwepo sasa tumeanza kutafuta mchawi sisi kwa sisi
Wachawi viongozi na benchi la ufundi

WAONDOKE WATUACHIE YANGA YETU
 
Unankumbusha mwaka Jana mkuu,tulipigwa nje na ndani tulisingizia usajili wa Mayele ulicheleweshwa,in short sis ni malalamiko fc
Kwa nini kila siku yanga isitoboe kimataifa!!?? Hii ni laana
 
Back
Top Bottom