Mchawi huyuSenzo anaingia vipi hapo kama sio ukichaa?
Mijitu mingine nuksi kweli mkuuMchawi huyu
Ina maana simba iko vizuri kuzidi Yanga!!? Mbona wao wanafanya vizuri kila kukicha!!??
Mbona huwa tunawafunga sana!!??
Simba gani unayotamani mafanikio yake?Ni kweli, tunatamani mafanikio kama yenu
SIMBA SC
Punguzeni jazba , Al Hilal ni timu kubwa kutoa nayo sare si ajabu , timu yenu inajitahidi tatizo mazoezi inacheza na VIKINDU FC lazima iunderperform CLWachawi viongozi na benchi la ufundi
WAONDOKE WATUACHIE YANGA YETU
Sijasoma chochote! This is what you deserve. 🚮Habarini Wanajangwani wenzangu.
Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?
Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi. Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba Ligi Kuu peke yake.
Kuna muda najisikia wivu ninavyoona wenzetu Simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa, lakini nabaki sina namna kwa sababu Yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu.
Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala n.k? Yaani kila siku yanga ndiyo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa. Hapana, imetosha sasa!
Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za Ligi Kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndiyo tushindwe ila ya ndani tumudu.
Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana Wanajangwani tusiende uwanjani, maana ndiyo kunapowapa viburi.
Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
Sisi mashabiki wa Yanga tuna imani na timu yetu! Ishinde, itoe sare! Ifuzu! Ishindwe kufuzu! Bado Tutaiunga mkono mwanzo mwisho! Na wala hatushwi na kelele kutoka kwa mashabiki wa timu nyingine, na wasio jitambua.Sasa ukitakua kujua kuwa kila shabik wa utopolo ni kocha ndo kipnd hiki sas...mara nabi hajui kupanga kikosi....bangala anatakiwa acheze namba 6..yaan ni kelele tu huko mtandaon...kiuhalisia yanga kikosi chao c kizuri kimataifa kama wanavyoaminishwa mashabik..imefika sehem mashabik wa yanga wanaona kwao kutoa sare si haki achilia mbali kufungwa....