SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Punguza povu, matokeo yana mipira mitatu ujueAcha kuvuta bangi. Haikupendi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza povu, matokeo yana mipira mitatu ujueAcha kuvuta bangi. Haikupendi.
Mi mwenyewe natamani tuanzishe kampeni ya kutokwenda uwanjani maana sasa imetosha kutolewa hatua za awali.pole mwanangu, tushirikiane mashabiki wa yanga tusiende uwanjani ila kusisitiza suala letu la ushindani kimataifa
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
MAKOLO siku mkichukua kombe lolote la CAF nimekaa pale mniite JIBWA [emoji117][emoji38]Ibenge aliwaambia hao Simba ni wakubwa sana hata kama mnawafunga huko kwenye ligi yenu hamkumsikia.
Ibenge kwa Simba kwa Mkapa kafa mechi zote kwa timu alizozifundisha.
Alivyoona anakuja kucheza na Yanga akawa anatabasamu tu.
Ndio tumeona nyie bila zile bahasha za kaki hamna kitu. Wepesi tu. Mkuu nyie wakulalamika tu. Mkijitambua itawasaidia. Mpira sio maneno yale mnayo jazwa.Kwani mpira si umechezwa uwanjani, na kila mtu ameona!
Sio tukuite jibwa sema tukuoe kabsa. Kuitwa jibwa hakutakuadhiri weka details zako na contacts zako na syra yako (utambulisho wako jumla). Unaongea hayo huku jf hatuonani.MAKOLO siku mkichukua kombe lolote la CAF nimekaa pale mniite JIBWA [emoji117][emoji38]
Maana si midomo hiyo Ndugu zangu MAKOLOKOLO FC A.K.A MBUMBUMBU [emoji13]
Na ile ukimtoa mzee kikwete na mzee manara na yule mmoja waliobaki wote ni hamnazo pale vinyesi fc. Kumbe ummoja wao. .?Yanga ni timu yenye mamilioni ya mashabiki duniani kote! Mashabiki wawili hawawezi kamwe kubeba hisia na dhamana ya mashabiki wengine waliobaki!
Na ndiyo maana mpaka kesho natambua fika siyo mashabiki wote wa simba ni mbumbumbu! Hata mtoa kauli Ismail Aden Rage, naamini na yeye analitambua hilo.
Sisi tunapiga pesa za CAF za kila mwaka.MAKOLO siku mkichukua kombe lolote la CAF nimekaa pale mniite JIBWA [emoji117][emoji38]
Maana si midomo hiyo Ndugu zangu MAKOLOKOLO FC A.K.A MBUMBUMBU [emoji13]
Ibenge pia kuna game moja alipigwa nje ndani.. Home and AwayIbenge aliwaambia hao Simba ni wakubwa sana hata kama mnawafunga huko kwenye ligi yenu hamkumsikia.
Ibenge kwa Simba kwa Mkapa kafa mechi zote kwa timu alizozifundisha.
Alivyoona anakuja kucheza na Yanga akawa anatabasamu tu.
Timu yenu imewashinda mmebaki kuongelea timu bora, yaani unaongelea uchafu wa mwenzako wakati kwako ndo kuna uvundo wa karne, Rage akukosea aiseeHabarini Wanajangwani wenzangu.
Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?
Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi. Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba Ligi Kuu peke yake.
Kuna muda najisikia wivu ninavyoona wenzetu Simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa, lakini nabaki sina namna kwa sababu Yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu.
Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala n.k? Yaani kila siku yanga ndiyo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa. Hapana, imetosha sasa!
Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za Ligi Kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndiyo tushindwe ila ya ndani tumudu.
Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana Wanajangwani tusiende uwanjani, maana ndiyo kunapowapa viburi.
Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
Hivi unapata wapi ujasiri wa kushikiliwa akili na mtu kama Haji Manara! Mimi nina haki kabisa ya kuyakumbusha maneno ya Ismail Aden Rage, kutokana na ukweli kwamba jamaa ana akili.Na ile ukimtoa mzee kikwete na mzee manara na yule mmoja waliobaki wote ni hamnazo pale vinyesi fc. Kumbe ummoja wao. .?
Nabi amefikia mwisho, kwani ulimuajiri wewe! Ukitoa tamko la kumuondoa ili kumleta kocha mwingine, tutakuunga mkono!Nabi amefikia mwisho uwezo wake ni wakati sasa wa kumleta kocha mpya mzuri ili aendeleze pale tulipofikia.Timu inatengeneza nafasi nyingi ila magori hamna!wachezaji wanaback pass wakati tunahitaji ushindi
Sasa kama hizo bahasha mpaka timu yako inazipokea, shida iko wapi? Na tarehe 23 mtazipokea tena! Maana hakuna namna nyingine.Ndio tumeona nyie bila zile bahasha za kaki hamna kitu. Wepesi tu. Mkuu nyie wakulalamika tu. Mkijitambua itawasaidia. Mpira sio maneno yale mnayo jazwa.
Ukimuoa Mama yako kwa mara ya 1000 inatosha sana maana atakuwa ameshaota nakoz za ukahaba na laana popote pale duniani [emoji16]Sio tukuite jibwa sema tukuoe kabsa. Kuitwa jibwa hakutakuadhiri weka details zako na contacts zako na syra yako (utambulisho wako jumla). Unaongea hayo huku jf hatuonani.
Povu hilo halikusaidii kituNabi amefikia mwisho, kwani ulimuajiri wewe! Ukitoa tamko la kumuondoa ili kumleta kocha mwingine, tutakuunga mkono!
Ila kama huna mamlaka ya kumuondoa, basi unatakiwa utulie wananchi wacheze mpira. Kwa taarifa yako mashabiki wa Yanga tuna imani kubwa na timu yetu. Kuanzia kwa wachezaji, benchi la ufundi na viongozi.
Kolo katika ubora wako...Habarini Wanajangwani wenzangu.
Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?
Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi. Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba Ligi Kuu peke yake.
Kuna muda najisikia wivu ninavyoona wenzetu Simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa, lakini nabaki sina namna kwa sababu Yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu.
Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala n.k? Yaani kila siku yanga ndiyo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa. Hapana, imetosha sasa!
Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za Ligi Kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndiyo tushindwe ila ya ndani tumudu.
Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana Wanajangwani tusiende uwanjani, maana ndiyo kunapowapa viburi.
Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
Watasema karia msomali anawajali jirani zakePole sana Senzo mbona alishasepa!
Tatizo hamuishii kununua mechi tu,ila na wachambuzi kwa ajili ya propaganda na uongo uongo wa mwingi.
Ingekuwa leo ni mwamuzi wa hapa kwetu,angelaumiwa Karia sana.
Lakini hizi ndiyo mechi za kimataifa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Uto mwenzio kachanganyikiwa na kipigo, wewe unaonekana una afadhali umeshazoea vipigo vya CAF...!!