Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Hivi unapata wapi ujasiri wa kushikiliwa akili na mtu kama Haji Manara! Mimi nina haki kabisa ya kuyakumbusha maneno ya Ismail Aden Rage, kutokana na ukweli kwamba jamaa ana akili.

Na huwa hakurupuki. Akisema kitu basi ujue kina uhakisia. Mfano mzuri ni pale alipowaita mbumbumbu! Mpaka leo hiyo hali bado inawatesa mashabiki wengi wa simba.
Kaka umeshikiliwa na rage akili si nyani vile vile. Luc Emely alisemaje kuhusu nyie mashabiki wa yanga.? 🤣🤣🤣🤣. Alichowaambieni manara na alicho waambieni Luc Emely ni kitu kimoja na alicho waambieni yule mwingine kuwa mna vinyesi. 🤣🤣🤣
 
Si wanapokea waamuzi.. ? Au acha kujitoa ufahamu bwana mkuubwa
Kwa hiyo hata yale magoli mliyofungwa na akina Fei Toto ya mita 30, na yale ya mayele ya kuwapiga chenga mabeki wenu wanne! Ni matokeo ya hizo bahasha za GSM kwa waamuzi!!

Aisee hii nchi maajabu hayawezi kuisha kamwe.
 
Ukimuoa Mama yako kwa mara ya 1000 inatosha sana maana atakuwa ameshaota nakoz za ukahaba na laana popote pale duniani [emoji16]
Usivyo na akili sasa ushaanza kunitukania mamangu. Hii inaonesha namna gani ulivyo kinyesi. Nitukane mimi uwezavyo maswala ya mama yanakujaje. Punguani mkubwa wrwe
 
Kwa hiyo hata yale magoli mliyofungwa na akina Fei Toto ya mita 30, na yale ya mayele ya kuwapiga chenga mabeki wenu wanne! Ni matokeo ya hizo bahasha za GSM kwa waamuzi!!

Aisee hii nchi maajabu hayawezi kuisha kamwe.
Basi tujikumbushe zile 4 na 5 tulizokukwangua.. ? Maana unaongea kama vile hatuja wahi kuwa baka kabsa.
 
.
JamiiForums877608381.jpg
 

Lishe duni, wanakacha mazoezi, ligi kusimamishwa kila mara , wanakosa, hivyo kukosa match fitness, kushindwa kufanya maamuzi ya haraka.

Papara langoni kwa strikers wajifunze kutoka kwa Erling Haaland wa Man City kuwa nyavu huzitikisa kila mara kwa kuwa anafanya kama vile ana piga pasi badala ya kufumua shuti kwa papara

Ni hayo tu kwa timu za Tanzania

Erling Haaland:
MamaLishe atoboa siri ya chakula alichompikia Erling Haaland, fitness coach mikakati ya kumjenga misuli ...

Erling Haaland is ready to dominate the Premier League. A terrifying presence to any opposition, standing at 6'4" (193 cm) tall, the Norwegian wonderkid inherited the dogged work ethic of his footballing father (Alf-Inge) and burst onto the scene as a 'manchild' 15 year old at Bryne FK. Haaland then moved to Molde, before transferring to Red Bull Salzburg, where he became only the second teenager in UEFA Champions League history to score in each of his first three appearances in the competition. It was not long before Bundesliga side Borussia Dortmund pounced, and Haaland established himself as one of the deadliest strikers in Europe. Now his tour of devastation continues at Manchester City. We went to Norway to learn more about his roots.
Source : DW Kick Off !
 
Basi tujikumbushe zile 4 na 5 tulizokukwangua.. ? Maana unaongea kama vile hatuja wahi kuwa baka kabsa.
Ndiyo historia mliyobakia nayo hiyo kwa sasa! Hapa tunaongelea bahasha za kaki!! Usihamishe magoli mkurugenzi.
 
Ukimuoa Mama yako kwa mara ya 1000 inatosha sana maana atakuwa ameshaota nakoz za ukahaba na laana popote pale duniani [emoji16]
Makalio ya baba ako wewe! Heshimu maneno yako mbwa ww!!?? Mama ameingia vipi kwenye story zenu!!??
 
Ukuda kivipi me naiongelea klabu yangu,
Tuongee tu ukweli yanga wenzangu, inabidi tujifunze kwa simba

We ni kolo mwenzetu tu acha kujifanya mwananchi bhn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii tabia Sio nzuri
 
Kaka senzo HAYUPO utopoloni alishajivua.
Mimi Nina ombi moja kwa nabi na kule sudan akamuweke mdaka mishale.
Sema Simba tusijisahau mwenzio akinyolewa...

Sisi hata wakitunyoa kwao sio juu ya goli moja..na wakija kwa mkapa mbona maji wataita mma
 
We ni kolo mwenzetu tu acha kujifanya mwananchi bhn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii tabia Sio nzuri
Hapana mkuu, mimi ni dar young africa

#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Ndiyo historia mliyobakia nayo hiyo kwa sasa! Hapa tunaongelea bahasha za kaki!! Usihamishe magoli mkurugenzi.
wewe huna hoja za maana ila unaongea sana kiongozi!

Tate Mkuu out
#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.

Nakuambia tena sudan hakuna mtu huwa anashinda we jamaa..pale kwanza wachezaji watakutana na mtiti kuanzia nje ya uwanja mpaka kwa marefa yaani ni balaa tupu..kwa kifupi mmeumaliza mwendo subirini mwakani
 
Habarini Wanajangwani wenzangu.

Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?

Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi. Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba Ligi Kuu peke yake.

Kuna muda najisikia wivu ninavyoona wenzetu Simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa, lakini nabaki sina namna kwa sababu Yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu.

Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala n.k? Yaani kila siku yanga ndiyo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa. Hapana, imetosha sasa!

Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za Ligi Kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndiyo tushindwe ila ya ndani tumudu.

Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana Wanajangwani tusiende uwanjani, maana ndiyo kunapowapa viburi.

Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
Tuambie aliyekutuma wewe siyo mwananchi huu ni zaidi ya umbea point ya msingi ya post yako kuisifia simba au na wewe ni chawa wa kwenye soka
 
Nuksi kwa nini, naby anaharibu timu yangu.
Kwa nini toto asimuweke namba kumi
Bangala namba sita
Na kwa nini benard kafanyiwa sub
Kisinda kaingia kwa mpira upi

#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩

Sasa hersi akiachaia timu utaifadhili wewe mkuu???achana hasira soka lina matokeo yake baba cha msingi acha wananchi waende sudan wakapambane tuu
 
Tatizo wewe siyo shabiki wa Yanga! Na ndiyo maana mashabiki halisi wa Yanga tunakushangaa!

Mkuu kuna mashabiki wamelalamika sana jana kwenye media za online kibao tu huko you tube..mojawapo ni jamaa mmoja anaitwa jimmy mafufu ni producer mkubwa wa movie hapa bongo ni yanga lia lia kabisa ila jana katukana hadi matusi ya nguoni..unaamini na yeye ni KOLO MWENZETU??
 
Back
Top Bottom