Si wanapokea waamuzi.. ? Au acha kujitoa ufahamu bwana mkuubwaSasa kama hizo bahasha mpaka timu yako inazipokea, shida iko wapi? Na tarehe 23 mtazipokea tena! Maana hakuna namna nyingine.
Kaka umeshikiliwa na rage akili si nyani vile vile. Luc Emely alisemaje kuhusu nyie mashabiki wa yanga.? π€£π€£π€£π€£. Alichowaambieni manara na alicho waambieni Luc Emely ni kitu kimoja na alicho waambieni yule mwingine kuwa mna vinyesi. π€£π€£π€£Hivi unapata wapi ujasiri wa kushikiliwa akili na mtu kama Haji Manara! Mimi nina haki kabisa ya kuyakumbusha maneno ya Ismail Aden Rage, kutokana na ukweli kwamba jamaa ana akili.
Na huwa hakurupuki. Akisema kitu basi ujue kina uhakisia. Mfano mzuri ni pale alipowaita mbumbumbu! Mpaka leo hiyo hali bado inawatesa mashabiki wengi wa simba.
Kwa hiyo hata yale magoli mliyofungwa na akina Fei Toto ya mita 30, na yale ya mayele ya kuwapiga chenga mabeki wenu wanne! Ni matokeo ya hizo bahasha za GSM kwa waamuzi!!Si wanapokea waamuzi.. ? Au acha kujitoa ufahamu bwana mkuubwa
Usivyo na akili sasa ushaanza kunitukania mamangu. Hii inaonesha namna gani ulivyo kinyesi. Nitukane mimi uwezavyo maswala ya mama yanakujaje. Punguani mkubwa wrweUkimuoa Mama yako kwa mara ya 1000 inatosha sana maana atakuwa ameshaota nakoz za ukahaba na laana popote pale duniani [emoji16]
Basi tujikumbushe zile 4 na 5 tulizokukwangua.. ? Maana unaongea kama vile hatuja wahi kuwa baka kabsa.Kwa hiyo hata yale magoli mliyofungwa na akina Fei Toto ya mita 30, na yale ya mayele ya kuwapiga chenga mabeki wenu wanne! Ni matokeo ya hizo bahasha za GSM kwa waamuzi!!
Aisee hii nchi maajabu hayawezi kuisha kamwe.
[emoji23][emoji23]View attachment 2380927
Ndiyo historia mliyobakia nayo hiyo kwa sasa! Hapa tunaongelea bahasha za kaki!! Usihamishe magoli mkurugenzi.Basi tujikumbushe zile 4 na 5 tulizokukwangua.. ? Maana unaongea kama vile hatuja wahi kuwa baka kabsa.
Kabla mama samia hajamaliza awamu yake amini ya kwamba tutawafungeni 4 au 5Ndiyo historia mliyobakia nayo hiyo kwa sasa! Hapa tunaongelea bahasha za kaki!! Usihamishe magoli mkurugenzi.
Ndoto ya alinacha hii!Kabla mama samia hajamaliza awamu yake amini ya kwamba tutawafungeni 4 au 5
Ukuda kivipi me naiongelea klabu yangu,
Tuongee tu ukweli yanga wenzangu, inabidi tujifunze kwa simba
Kaka senzo HAYUPO utopoloni alishajivua.
Mimi Nina ombi moja kwa nabi na kule sudan akamuweke mdaka mishale.
Sema Simba tusijisahau mwenzio akinyolewa...
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Tuambie aliyekutuma wewe siyo mwananchi huu ni zaidi ya umbea point ya msingi ya post yako kuisifia simba au na wewe ni chawa wa kwenye sokaHabarini Wanajangwani wenzangu.
Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?
Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi. Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba Ligi Kuu peke yake.
Kuna muda najisikia wivu ninavyoona wenzetu Simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa, lakini nabaki sina namna kwa sababu Yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu.
Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala n.k? Yaani kila siku yanga ndiyo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa. Hapana, imetosha sasa!
Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za Ligi Kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndiyo tushindwe ila ya ndani tumudu.
Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana Wanajangwani tusiende uwanjani, maana ndiyo kunapowapa viburi.
Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
Nuksi kwa nini, naby anaharibu timu yangu.
Kwa nini toto asimuweke namba kumi
Bangala namba sita
Na kwa nini benard kafanyiwa sub
Kisinda kaingia kwa mpira upi
#π£πππ π€πͺπ©
#πππ§π¨π π€πͺπ©
Na Ni kichaa kweli HV anadhani kuendesha club Ni rais rais mm naona hata gsm akivhukuwaa moja kwa moja na Kisha kumkabidh mwanae hakn shida Sina hell za kuachnagia yangaSenzo anaingia vipi hapo kama sio ukichaa?
Tatizo wewe siyo shabiki wa Yanga! Na ndiyo maana mashabiki halisi wa Yanga tunakushangaa!