Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I just saw a goal.com South Africa posting Manara words .
Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa .
Sijui kama Hersi anajua Manara kasha zingua huko South Africa. Mtu karibu na Hersi amshtue kazi yake matopeni .
Account yake inatumika kama reference ya Yanga SC . Taasisi matopeni. Yajayo yana tisha , fans wamemind sana huko.