makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Vipi ni chakula TAJIRI nini..!?Ni zaidi ya [emoji817].
Maana ukimuona swala anatamba sana msituni ujue basha wake ni simba (mfalme wa nyika)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ni chakula TAJIRI nini..!?Ni zaidi ya [emoji817].
Bora umetutafsiria Akina MEMKWA😂😂. Acha waendelee kukumbatia mzinga WA nyuki. TFF hawakukurupuka. Huyo jamaa akifungua mdomo wake anachoongea ni MASHUDU Tu.Kaizer chief wameichukulia hiyo kauli ya Manara kama dhihaka kwao wakati waliwaalika Yanga kiroho safi tu.
Ni kawaida mihemko ya kimpira mkuu.Sioni tatizo..
This is goal South Africa. Kaizer fans were furious, kaizer listen to their fans kuliko chochote. Ni private institution ileNi kawaida mihemko ya kimpira mkuu.
Hata mimi sioni tatizo na ukizingatia mtu mwenyewe aliesema yukoje.
Basi ujui Kaizer mashabiki ndo kila kituSioni tatizo..
Ndio maana linawaopiga 7-2Lile ni genge wa wahuni
Hizo tambo za Kawaida tu kwenye mpira wa Tanzania.
Haji msemaji wa Timu ya Tanzania sio ya RSA,kama wamekwazika wajibebe hayo ndio Maisha yetu ya mpira.
Vingenevyo,ni kuwa people pleaser tu.
nipo sana.Boss upo?
Kitambo sijakuona humu au napishana na post na comment zako.
Wasiwapangie watu Cha kusema kisa tu tumealikwa,wasingetualika tungepungukiwa nini?that's south africa. umealikwa then una abuse the invitee
manara was never involved in any of these.Wasiwapangie watu Cha kusema kisa tu tumealikwa,wasingetualika tungepungukiwa nini?
You started the thread but more than 50% of the comments are yours. What is the problem bro.?manara was never involved in any of these.
but he was the first one to abuse
Bro, you really have a calling in BROKEN English.You started the thread but more than 50% of the comments are yours. What is the problem bro.?
Another thing whio are you to Yanga.? Why should anybody take you seriously?
For me your opinion and thoughts are useless as usual. Before you post anything think through first. For me all your postings so far has been rubbish.
Matajiri ili Biashara zizidi kukua na kutanuka lazima mtu kama Manara awepo pale.Ni zaidi ya [emoji817].
50% ?? learn math you fo*l .You started the thread but more than 50% of the comments are yours. What is the problem bro.?
Another thing whio are you to Yanga.? Why should anybody take you seriously?
For me your opinion and thoughts are useless as usual. Before you post anything think through first. For me all your postings so far has been rubbish.
Karia amtafutie kosa lingine apige ban ya muda mrefu. Manara ana mdomo mchafu toka akiwa Simba. Kwa club inayotaka kuendeshwa kisasa haiwezi kuwa na mtu kama Manara. Huyu atafute kazi kwenye timu za nondo cup.i just saw a goal.com south africa posting manara words .
Manara Ameshusha brand ya yanga na fan base south africa in a single post
Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa .
Sijui kama hersi anajua manara kasha zingua huko south africa .
Mtu karibu na hersi amshtue kazi yake matopeni .
account yake inatumika kama reference ya yanga sc . Taasisi matopeni
Yajayo yana tisha , fans wamemind sana huko
View attachment 3062448