Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Aibu
Sana . Watu wamshtue hersi aisee ita cost sana yanga in later monthsAibu
Kihasibu 😊 ni hasara.Lile ni genge wa wahuni
i just saw a goal.com south africa posting manara words .
Manara Ameshusha brand ya yanga na fan base south africa in a single post
Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa .
Sijui kama hersi anajua manara kasha zingua huko south africa .
Mtu karibu na hersi amshtue kazi yake matopeni .
account yake inatumika kama reference ya yanga sc . Taasisi matopeni
Yajayo yana tisha , fans wamemind sana huko
View attachment 3062448
Hersi ni mjinga tu kama wengine . I think kuna kitu akipo sawa .Lile ni genge wa wahuni
View attachment 3062455i just saw a goal.com south africa posting manara words .
Manara Ameshusha brand ya yanga na fan base south africa in a single...
Siku mpishi akikosea kidogo uto watapukutika.
Ni zaidi ya [emoji817].Kwa asimilia 70 naamini manara yupo yanga kwa sababu ya GSM
Baada ya hiyo kauli, umempunguzia nini sasa Hersi?Hersi ni mjinga tu kama wengine . I think kuna kitu akipo sawa .
Nilivyosoma iyo habari goal.com nilijua tu Manara kashaalibu, jamaa ni mlopokaji hana professionalism. Iyo kauli ni dhiaka kwa kaizer chiefsi just saw a goal.com south africa posting manara words .
Manara Ameshusha brand ya yanga na fan base south africa in a single post
Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa .
Sijui kama hersi anajua manara kasha zingua huko south africa .
Mtu karibu na hersi amshtue kazi yake matopeni .
account yake inatumika kama reference ya yanga sc . Taasisi matopeni
Yajayo yana tisha , fans wamemind sana huko
View attachment 3062448
Hii kauli ya haji kaize chief wamesemaje na wao?i just saw a goal.com south africa posting manara words .
Manara Ameshusha brand ya yanga na fan base south africa in a single post
Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa...