Tulia mafisi wala mizoga kila aliye watoboa mnabeba!Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi
Mkataba wake unakoma June, 2025
Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya wananchi msimu ujao
Rai yangu Kwa Eng Hersi na viongozi wengine wasijaribu kusajili hili garasa
Silla ni mchezaji wa kawaida mno
Tushapigwa Kwa Dube tusichukue tena wavimba macho wengine
Vipi Chikwende yupo wapi?.Tulia mafisi wala mizoga kila aliye watoboa mnabeba!
Ndio nani?Vipi Chikwende yupo wapi?.
chama kipi hahahaBonge la mchezaji kama Chama š
Kamala Haris Vs Donald Trump..Chama akapiga free kick dk ya 87
Kamala akaitema
Beki T Kijili akajifungaš
Ooh ndio jama ba!Ndo Jobe
Hii inaitwa kama huwezi kumzuia mnunueš¤£Na hivyo mnapenda kuwachukua wanaowafunga Simba..sasa sfr hii mnachukua zimwi linalowatesa nyie wenyewe..maana linawalamba kila mkikutana...hahahhaah
Unampata konkoni!Jobe de kolo
Nani anatemwa?.Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi
Mkataba wake unakoma June, 2025
Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya wananchi msimu ujao
Rai yangu Kwa Eng Hersi na viongozi wengine wasijaribu kusajili hili garasa
Silla ni mchezaji wa kawaida mno
Tushapigwa Kwa Dube tusichukue tena wavimba macho wengine
Hersi amebanwa na majukumu ya CAF, acha awasainishe walau ambao tayari wameshaletwa bongo, vinginevyo hata hao hatutaweza kuwapataDjibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi