Eng Hersi usijaribu kumsajili Djibril Silla wa Azam

Eng Hersi usijaribu kumsajili Djibril Silla wa Azam

Wow!, can't wait kumwona Dgibril Sillah utopoloni akitambulishwa kimazingaombwe kama okrah magic
 
Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi
Mkataba wake unakoma June, 2025

Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya wananchi msimu ujao

Rai yangu Kwa Eng Hersi na viongozi wengine wasijaribu kusajili hili garasa

Silla ni mchezaji wa kawaida mno
Tushapigwa Kwa Dube tusichukue tena wavimba macho wengine
Unao ubavu wa kupingana na rais wewe?

Tuliza komwe
 
Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi
Mkataba wake unakoma June, 2025

Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya wananchi msimu ujao

Rai yangu Kwa Eng Hersi na viongozi wengine wasijaribu kusajili hili garasa

Silla ni mchezaji wa kawaida mno
Tushapigwa Kwa Dube tusichukue tena wavimba macho wengine
Engeneer kalogwa mze! Sajili zake nyingi misimu hii 2 zinafeli, anashindwa kuelewa Yanga wana wachezaji wazuri ukitaka kusajili sajili mchezaji mzuri zaidi ya waliopo, na siyo unasajili kina Ikombolo na wafukuza upepo!
 
Back
Top Bottom