Eng Hersi usijaribu kumsajili Djibril Silla wa Azam

Hii inaitwa kama huwezi kumzuia mnunue🤣

Na anaweza akaenda uto game zidi ya Azam akajifunga😃


Hapo ndo utajua jasiri haachi Asili😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimecheka mnoo
 
Wow!, can't wait kumwona Dgibril Sillah utopoloni akitambulishwa kimazingaombwe kama okrah magic
 
Unao ubavu wa kupingana na rais wewe?

Tuliza komwe
 
Engeneer kalogwa mze! Sajili zake nyingi misimu hii 2 zinafeli, anashindwa kuelewa Yanga wana wachezaji wazuri ukitaka kusajili sajili mchezaji mzuri zaidi ya waliopo, na siyo unasajili kina Ikombolo na wafukuza upepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…