Eng Hersi usimfukuze Folz wala kumleta Nabi wala hamdi ila fanya yafuatayo

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen

Nimeona kelele nyingi sana zikitaka Romain Folz afukuzwe
Well kila mtu ana lake ila kwa mtazamo mkali kabisa nimeona tatizo kubwa lilikuwa hapa..

Kilichomsaidia Miloud Hamdi ni kitu kimoja tu
Yule jamaa aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi msomali bwana Moalim.

Katika yanga tulipatia ni kumchukua huyo jamaa
Baadae akawa anakaa benchi na Hamdi kama kocha msaidizi sababu leseni inamruhusu vigezo anavyo ni kocha kabisa

Huyu jamaa alikuwa ana uzoefu mkubwa tangua akiwa azam anavijua viwanja vigumu hapa Bongo na wachezaji wa yanga alikuwa anawajua vizuri sana

Kwa mtazamo wangu kama Folz angemkuta huyu jamaa kazi isingekuwa ngumu kwake kuliko sasa anavyohangaika

Hata Hamdi angekuja wakati huu ange struggle tu lazima yaani.

Ubaya yanga tukaleta tena mkurugenzi mpya wa ufundi yule paul mzungu ambaye naye ni mgeni hajui chochote kuhusu team hii lilikuwa kosa kubwa sana sana.

Nashauri Moalim arudishwe haraka sana haina haja ya kumtimu Folz chamsingi Moalim arudishwe kama mkurugeniz wa ufundi tena.

Kumbuka benchi la yanga sasa mwenyeji ni yule meneja tu Walter samwel basi pekee..!

Nadhani mpaka hapo unaona namna tulivyoingia chaka ..

Mnawalaumu simba wamtimue matola ila hamjui kuwa yule ndio ramani husika pale kocha akija hapati tabu kabisa huo ndio ukweli!

Mtakuja kuniambia hapa baadae kama nadanganya

Its Pancho
 
Moallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud.lakini Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana uwanjani.

Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
 
Gongowazi wazi hafichiki.Kujifanya Simba hakukusaidii lolote bakia na mzoga wako na siku si nyingi utaanza kunuka.
 
Yanga ni timu ya wanamtandao CCM , kikwete anamtumia hersi kufanya yao
 
Moallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud. Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana.

Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
Ki Aziz alikua kikosi cha ngapi?
 
Naheshimu mawazo yako lakini inabidi ujue kitu kimoja. Siku zote kocha ndo anaamua timu icheze vipi yaani staili gani...

Huyu kocha naona anapenda mpira wa kushambulia kwa kutumia pasi ndefu na soka la kisasa tena kwa timu kama Yanga inakua ngumu sana maana kwenye ligi yetu tayari Yanga ni giant so anapocheza na timu za daraja la kati anatakiwa amiliki mpira yeye na sio vinginevyo...

Tazama mechi dhidi ya pamba njoo pia ya mbeya city unaweza kudhani Yanga ndio underdog huo mpira ya bwana Folz ulipaswa kuchezwa na second team uwanjani ila sio favorite...

Kwa maoni yangu, bwana Folz aende salama.
 
mtu wa maana kabisa we jamaa
 
Sahihi kabisa
 
Hakuna mechi yanga alizidiwa position kwenye ligi mechi zote kacheza kama favorite, haya Maneno yangekua na nguvu kama mpira uliangalia pekee yako Sio sisi wote

Ungesema achezi vzur sio anakua timu ya pili ungeeleweka, hivo stats japo aziposahihi sana lakni ni 90% sahihi
 
Attachments

  • Screenshot_2025-10-04_151928~2.jpg
    Screenshot_2025-10-04_151928~2.jpg
    68.8 KB · Views: 35
  • Screenshot_2025-10-04_151811~2.jpg
    Screenshot_2025-10-04_151811~2.jpg
    66.2 KB · Views: 30
Moallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud. Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana uwanjani.

Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
Kocha anayejielewa Ibenge ndiyo anafanyq hivyo Azam...wageni anawaingiza kimkakati, Folz changamoto ni uzoefu siyo kocha wa kubeba mioyo ya timu kubwa
 
Moallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud.lakini Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana uwanjani.

Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
Na huyo ramovich ndie aliemuondoa moalin Yanga,yupo nae belzidad
 
Siku zote kocha ndo anaamua timu icheze vipi yaani staili gani...
Sio kweli hapana kabisa

Kazi ya mkurugenzi wa ufundi pia ni kulinda falsafa ya team akija kocha anaambiwa sisi falsafa yetu ni ipi labda kumiliki mpira au namna gani au pasi fupi fupi labda

Kwahiyo nakupinga pengo la moalim liko wazi kabisa

Miloud alipokuja alionyeshwa falsafa ya team ya moalin hivyo hakupata tabu kabisa
 
Back
Top Bottom