Mkuu jaribu kuwa muelewa, sio lazima kile ukijuacho basi ndo kiwe sahihi.
Jamaa amesema ukweli, mtu wa mwisho kutengeneza build up plan ya timu ni kocha na sio mkurugenzi wa ufundi.
Pep aliibadili Bayern, Flick akaibadili Barca, Mourinho akaibadili Madrid, Nabi alitumia mpira wa mpira wa counter na wings, Gamond akaja na total football, mifano iko mingi sana.
Kocha ndie anayesuka timu. Ndiye anakaa na timu muda wote na ndiye anayeamua timu icheze vipi though kila timu ina nature yake ya uchezaji.