Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Hata mkiunganisha stuli na meza hamtopata kitanda.Naungana nawe katika hili.
Gongowazi wazi hafichiki.Kujifanya Simba hakukusaidii lolote bakia na mzoga wako na siku si nyingi utaanza kunuka.I salute you kinsmen
Nimeona kelele nyingi sana zikitaka Romain Folz afukuzwe
Well kila mtu ana lake ila kwa mtazamo mkali kabisa nimeona tatizo kubwa lilikuwa hapa..
Kilichomsaidia Miloud Hamdi ni kitu kimoja tu
Yule jamaa aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi msomali bwana Moalim.
Katika yanga tulipatia ni kumchukua huyo jamaa
Baadae akawa anakaa benchi na Hamdi kama kocha msaidizi sababu leseni inamruhusu vigezo anavyo ni kocha kabisa
Huyu jamaa alikuwa ana uzoefu mkubwa tangua akiwa azam anavijua viwanja vigumu hapa Bongo na wachezaji wa yanga alikuwa anawajua vizuri sana
Kwa mtazamo wangu kama Folz angemkuta huyu jamaa kazi isingekuwa ngumu kwake kuliko sasa anavyohangaika
Hata Hamdi angekuja wakati huu ange struggle tu lazima yaani.
Ubaya yanga tukaleta tena mkurugenzi mpya wa ufundi yule paul mzungu ambaye naye ni mgeni hajui chochote kuhusu team hii lilikuwa kosa kubwa sana sana.
Nashauri Moalim arudishwe haraka sana haina haja ya kumtimu Folz chamsingi Moalim arudishwe kama mkurugeniz wa ufundi tena.
Kumbuka benchi la yanga sasa mwenyeji ni yule meneja tu Walter samwel basi pekee..!
Nadhani mpaka hapo unaona namna tulivyoingia chaka ..
Mnawalaumu simba wamtimue matola ila hamjui kuwa yule ndio ramani husika pale kocha akija hapati tabu kabisa huo ndio ukweli!
Mtakuja kuniambia hapa baadae kama nadanganya
Its Pancho
Ki Aziz alikua kikosi cha ngapi?Moallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud. Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana.
Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
Azizi Ki aliondoka wakati Yanga ikiwa inaendelea na mashindano ya ligi kuu na FA lakini chini ya Miloud Hamdi hatukuona pengo lake.Ki Aziz alikua kikosi cha ngapi?
mtu wa maana kabisa we jamaaNaheshimu mawazo yako lakini inabidi ujue kitu kimoja. Siku zote kocha ndo anaamua timu icheze vipi yaani staili gani...
Huyu kocha naona anapenda mpira wa kushambulia kwa kutumia pasi ndefu na soka la kisasa tena kwa timu kama Yanga inakua ngumu sana maana kwenye ligi yetu tayari Yanga ni giant so anapocheza na timu za daraja la kati anatakiwa amiliki mpira yeye na sio vinginevyo...
Tazama mechi dhidi ya pamba njoo pia ya mbeya city unaweza kudhani Yanga ndio underdog huo mpira ya bwana Folz ulipaswa kuchezwa na second team uwanjani ila sio favorite...
Kwa maoni yangu, bwana Folz aende salama.
Sahihi kabisaNaheshimu mawazo yako lakini inabidi ujue kitu kimoja. Siku zote kocha ndo anaamua timu icheze vipi yaani staili gani...
Huyu kocha naona anapenda mpira wa kushambulia kwa kutumia pasi ndefu na soka la kisasa tena kwa timu kama Yanga inakua ngumu sana maana kwenye ligi yetu tayari Yanga ni giant so anapocheza na timu za daraja la kati anatakiwa amiliki mpira yeye na sio vinginevyo...
Tazama mechi dhidi ya pamba njoo pia ya mbeya city unaweza kudhani Yanga ndio underdog huo mpira ya bwana Folz ulipaswa kuchezwa na second team uwanjani ila sio favorite...
Kwa maoni yangu, bwana Folz aende salama.
Hakuna mechi yanga alizidiwa position kwenye ligi mechi zote kacheza kama favorite, haya Maneno yangekua na nguvu kama mpira uliangalia pekee yako Sio sisi woteNaheshimu mawazo yako lakini inabidi ujue kitu kimoja. Siku zote kocha ndo anaamua timu icheze vipi yaani staili gani...
Huyu kocha naona anapenda mpira wa kushambulia kwa kutumia pasi ndefu na soka la kisasa tena kwa timu kama Yanga inakua ngumu sana maana kwenye ligi yetu tayari Yanga ni giant so anapocheza na timu za daraja la kati anatakiwa amiliki mpira yeye na sio vinginevyo...
Tazama mechi dhidi ya pamba njoo pia ya mbeya city unaweza kudhani Yanga ndio underdog huo mpira ya bwana Folz ulipaswa kuchezwa na second team uwanjani ila sio favorite...
Kwa maoni yangu, bwana Folz aende salama.
Kocha anayejielewa Ibenge ndiyo anafanyq hivyo Azam...wageni anawaingiza kimkakati, Folz changamoto ni uzoefu siyo kocha wa kubeba mioyo ya timu kubwaMoallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud. Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana uwanjani.
Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
Wewe acha longolongo jibu swali....Azizi Ki aliondoka wakati Yanga ikiwa inaendelea na mashindano ya ligi kuu na FA lakini chini ya Miloud Hamdi hatukuona pengo lake.
Na huyo ramovich ndie aliemuondoa moalin Yanga,yupo nae belzidadMoallin alifanya kazi na Ramovich kisha na Miloud.lakini Yanga ya Ramovich haikufanana na Yanga ya Miloud hivyo nafasi ya kocha mkuu ina play nafasi kubwa sana uwanjani.
Nakubaliana na wewe katika umuhimu wa kuwepo mwenyeji kwasababu ukiangalia katika kikosi cha kwanza ni Aucho pekee ndiye aliyekosekana ila huyu Folz kakipanganyua kikosi chote cha kwanza badala ya kutumia kile kile na kufanya maingizo mapya kidogo kidogo.
Sio kweli hapana kabisaSiku zote kocha ndo anaamua timu icheze vipi yaani staili gani...