Wewe msimu ulioisha uliona pengo la Aziz Ki katika mechi ipi? Azizi Ki alikuwa kwenye kikosi cha kwanza, lakini huwezi kusema eti Folz au Yanga kwasasa ina struggle kutokana na pengo la Aziz Ki wakati Miloud kashinda mechi zote bila uwepo wa huyo Aziz Ki. Tena mechi ya Derby dhidi ya Simba Yanga ikashinda kwa kishindo.Wewe acha longolongo jibu swali....
Ko saizi kuna pengo la Aucho?...Wewe msimu ulioisha uliona pengo la Aziz Ki katika mechi ipi? Azizi Ki alikuwa kwenye kikosi cha kwanza, lakini huwezi kusema eti Folz au Yanga kwasasa ina struggle kutokana na pengo la Aziz Ki wakati Miloud kashinda mechi zote bila uwepo wa huyo Aziz Ki. Tena mechi ya Derby dhidi ya Simba Yanga ikashinda kwa kishindo.
Hoja ya mapengo si umeleta wewe, kuna sehemu mimi nimeongelea kuwa kuna pengo? Yaani hujui hata unajadili nini. Tetea hoja yako kuhusu pengo la Aziz Ki mwenzetu umeiona kwenye mechi ipi katika msimu ulioisha?Ko saizi kuna pengo la Aucho?...
Katika pengo ambalo Yanga alijawasumbua kabisa ni Ki Aziz.Hoja ya mapengo si umeleta wewe, kuna sehemu mimi nimeongelea kuwa kuna pengo? Yaani hujui hata unajadili nini. Tetea hoja yako kuhusu pengo la Aziz Ki mwenzetu umeiona kwenye mechi ipi katika msimu ulioisha?
Pengo la Aucho Miloud alifanikiwa ku deal nalo katika mechi zakeKatika pengo ambalo Yanga alijawasumbua kabisa ni Ki Aziz.
Angalau Aucho.
Mkuu jaribu kuwa muelewa, sio lazima kile ukijuacho basi ndo kiwe sahihi.Sio kweli hapana kabisa
Kazi ya mkurugenzi wa ufundi pia ni kulinda falsafa ya team akija kocha anaambiwa sisi falsafa yetu ni ipi labda kumiliki mpira au namna gani au pasi fupi fupi labda
Kwahiyo nakupinga pengo la moalim liko wazi kabisa
Miloud alipokuja alionyeshwa falsafa ya team ya moalin hivyo hakupata tabu kabisa
Tulicheza na Mamelod, Aucho hakuwepo wala Pacome lakini timu bado ikawa na utulivu mzuri.Pengo la Aucho Miloud alifanikiwa ku deal nalo katika mechi zake
Kushinda mechi mbili tu, tena dhidi ya maduka yenu! Tayari majipu yameanza kuota wenye makwapa! Mambo yakianza kuchanganya, kelele nazo zinanatawala.Hata mkiunganisha stuli na meza hamtopata kitanda.
Vita vya panziKushinda mechi mbili tu, tena dhidi ya maduka yenu! Tayari majipu yameanza kuota wenye makwapa! Mambo yakianza kuchanganya, kelele nazo zinanatawala.
Mkuu sipo hapa kubishanaMkuu jaribu kuwa muelewa, sio lazima kile ukijuacho basi ndo kiwe sahihi.
Jamaa amesema ukweli, mtu wa mwisho kutengeneza build up plan ya timu ni kocha na sio mkurugenzi wa ufundi.
Pep aliibadili Bayern, Flick akaibadili Barca, Mourinho akaibadili Madrid, Nabi alitumia mpira wa mpira wa counter na wings, Gamond akaja na total football, mifano iko mingi sana.
Kocha ndie anayesuka timu. Ndiye anakaa na timu muda wote na ndiye anayeamua timu icheze vipi though kila timu ina nature yake ya uchezaji.