uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Ataongea TU hakuna kitu inaitwa "silent"kwenye soccer la bongo ana game na Asec Kisha Azam mbona hawajaongeaKule mwekezaji MO amesema silent is answer
Nasema hawajaongea!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataongea TU hakuna kitu inaitwa "silent"kwenye soccer la bongo ana game na Asec Kisha Azam mbona hawajaongeaKule mwekezaji MO amesema silent is answer
wazee wa kusajili wachezaji airport,safari hii tutawategeshea Ngushi ili wauane kabisa shwaini zaoHapo kuna watu wanataka kuingizwa cha kike, kesho watapanda ndege kuonana na huyo mmiliki wa Kaizer chiefs.
Ikumbukwe hawa Kaizer hawana lolote wala hawana maajabu maana juzi tu walipigwa mbili kwa Mkapa kama sikosei, halafu hao ni rafiki zake Hersi.
Hersi akitaka kusajili huwa anasajili kimya kimya, acha makolo wakashikishwe.