Eng. Hersi wa Yanga aonana na Rais wa Kaizer Chief baada ya kuhudhuria dabi ya Kaizer chiefs vs Orlando Pirates

Eng. Hersi wa Yanga aonana na Rais wa Kaizer Chief baada ya kuhudhuria dabi ya Kaizer chiefs vs Orlando Pirates

Hapo kuna watu wanataka kuingizwa cha kike, kesho watapanda ndege kuonana na huyo mmiliki wa Kaizer chiefs.

Ikumbukwe hawa Kaizer hawana lolote wala hawana maajabu maana juzi tu walipigwa mbili kwa Mkapa kama sikosei, halafu hao ni rafiki zake Hersi.

Hersi akitaka kusajili huwa anasajili kimya kimya, acha makolo wakashikishwe.
wazee wa kusajili wachezaji airport,safari hii tutawategeshea Ngushi ili wauane kabisa shwaini zao
 
Back
Top Bottom