TANZIA Eng. Mushubila wa TANROADS afariki dunia


Mkuu ninakuelewa.

Ndani ya uwezo wangu ninajitahidi kujihami na ugonjwa huu. Bila ya hofu pia ninawahamasisha wote naoweza kuwafikia. Katika jamii ya majuha sote hatuwezi kuwa majuha.

Kwenye note ya pili ya maelezo yako: kwa hakika ufafanuzi zaidi ulioutoa, mbona hiyo ndiyo iliyo tafsiri halisi ya neno "insanity" kutokea katika lugha ya mabeberu?

What a shame to be driven by insanes!

No wonder we are in this situation at last.
 

Kwamba kuanza kushauri jiwe si bora ingekuwa kushauri binadamu?

Pana ugonjwa hatari unauwa baina yetu, kwani hata tuko kisiwani basi? Kwani sisi wa kwanza kuchukua hatua kuhami watu wetu?

Kama nia ipo tunashindwa kujifunza hata kutoka kwa wenzetu na wengine hata walio hohehahe kabisa kuliko sisi? Tumebakia kujidanganya kuwa Mungu katenda maajabu. Wako wapi wapendwa wetu wengi tu?

Kwa hakika hatuna udhuru wowote kuwa nini hatujui wala nini. Yote yanafahamika ni ukichwa jiwe tu na hilo ndiyo lililo angamio letu.

Wenzetu wameagiza chanjo tayari kuanza kuhami walio hatarini zaidi yaani watumishi wa afya na wazee.

Sisi tumeagiza midege. What a contrast?!
 
Kuna harufu ya barakoa au nasema uongo ndugu zangu ?
Hiyo harufu ianzie kwako na ndugu zako. Kuna mpumbav mmoja juzi ananipigia akishangilia uzushi wa korona nchini. Nilimtukana sio siri.

Watu tunasali kila siku tuepuke hiki kikombe nyie mnavuta hatufu ya barakoa. Ingekuwa barakoa ni suluhisho wazungu wangekufa kama kuku vile?

Acheni upumbavu
 
Mbona povuuu mkuu nn shida ?
 
Juzi nilikua kwenye pantoni na mask yangu nyomi kibao, watu wakawa wananishangaa, na wengine wanaongea unawasikia kabisa wanaambizana, "hawa wanaovaa mask ndo vibaraka was mabeberu hawa".
Na wewe ungewashangaa jinsi ambavyo hawajavaa barakoa na nyomi yote hiyo ya Kigamboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…