Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
APUMZIKE KWA MUNGU. 😌Apumzike kwa Amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
APUMZIKE KWA MUNGU. 😌Apumzike kwa Amani
Nyumbu ndio mnaakili.Maajabu hayataisha Tanzania kwa akili hizi za kuokea mikate.
Sasa ndugu yangu hili unajuwa haliwezekani, Mkuu kila mara anatumia nguvu hata katika kampeni kuwa hakuna corona sababu ya maombi mpaka juzi amekuwa anasisitiza hilo kwa maana hiyo hawezi kugeuka kauli zake itaonekana wana responsibilty katika haya yaliyotokea ila kwa bahati mbaya viongozi wote mpaka chama waoga kusema ukweli. Hili hawatasema tufe mpaka basi ugonjwa ukimbie wenyewe. Jichunge na chunga family yako na watu wako.
We si ulikuwa mpiga zumari?Tuache utani, we are finished.
Watu wameshtuka wenyeweLeo kitaa Nimeona watu wamevaa
A a, tuchukulie kwamba hali inalazimisha iwe hivyo, hebu to a ushauri wako kwa hatua ambazo watu wanapaswa kuanza kuchukua kuanzia hivi sasa kabla ya hiyo tarehe 10 kufika. Usiongee tu mambo kutoka hewani. Fafanua na hatua za kuchukua. Jukumu la Serikali: "Total lockdown, JWTZ take full charge to enhance the order". The issue is extremely rampant!
Mtaani watu wameshaanza kuvaa barakoa taratibu naona kuna kaupepo hakapo sawaKuna harufu ya barakoa au nasema uongo ndugu zangu ?
Wakatoliki hao....Leo kitaa Nimeona watu wamevaa
Hiyo harufu ianzie kwako na ndugu zako. Kuna mpumbav mmoja juzi ananipigia akishangilia uzushi wa korona nchini. Nilimtukana sio siri.Kuna harufu ya barakoa au nasema uongo ndugu zangu ?
Dunia isipoingilia kati "mauaji" haya, basi tumekwisha1
Knew this engeneer, very proffessional and humble!
Wiki hii tu nimeshiriki misiba mitano.Watu wameshtuka wenyewe
Mbona povuuu mkuu nn shida ?Hiyo harufu ianzie kwako na ndugu zako. Kuna mpumbav mmoja juzi ananipigia akishangilia uzushi wa korona nchini. Nilimtukana sio siri.
Watu tunasali kila siku tuepuke hiki kikombe nyie mnavuta hatufu ya barakoa. Ingekuwa barakoa ni suluhisho wazungu wangekufa kama kuku vile?
Acheni upumbavu
Na wewe ungewashangaa jinsi ambavyo hawajavaa barakoa na nyomi yote hiyo ya KigamboniJuzi nilikua kwenye pantoni na mask yangu nyomi kibao, watu wakawa wananishangaa, na wengine wanaongea unawasikia kabisa wanaambizana, "hawa wanaovaa mask ndo vibaraka was mabeberu hawa".
Aisee!Wiki hii tu nimeshiriki misiba mitano.
Minne changamoto za kupumua na mmoja ajali.