Ina maana system ya ndege bado ilikuwa inafanya kazi hata baada ya ndege yenyewe kusambaratika kiasi kile!?Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
WASAFI TVBwashe huu uzi una kila dalili ya uchochezi. Wenye Majaliwa wao unataka kuwaambia nini?
Chama kimeshika hatamu....kwa hisani ya Majaliwa. Na sasa analindwa na koplo mzima.Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.
Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Mimi siyo mtaalamu wa milangoTumuulize John The Pubtist anasemaje kwan bwana johnthebaptist unasemaje?
Bado anachezea simba sharubu👆🏾Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Tukishirikisha akili..Lakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Mimi nikiwa km mtaalamu wa Molango ya Ndege nasema Kasia haiwezi kuufungua huo Mlango hata nyundo haiwezi, yaan km ingekua ni hivyo basi usafiri wa Ndege ni usafiri hatarishi zaidi kuliko usafiri wowote,Mimi siyo mtaalamu wa milango
Mkuu umemwanga point moja ya msingi ambayo watu hawaioni,Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Mlango wa Emergency ule karibia na Bawa ?Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Ndege zetu zinajulikana bwasheeMimi nikiwa km mtaalamu wa Molango ya Ndege nasema Kasia haiwezi kuufungua huo Mlango hata nyundo haiwezi, yaan km ingekua ni hivyo basi usafiri wa Ndege ni usafiri hatarishi zaidi kuliko usafiri wowote,
Emergency exit inafunguliwa manually tu sio kwamba Kuna kitufe kinahitaji umeme au mfumo wa kilektroniki ila tu inahitaji utaalamu Ili kuweza kuung'oa maana una maeneo ya kuulegeza kabla ya kuusukuma njeIna maana system ya ndege bado ilikuwa inafanya kazi hata baada ya ndege yenyewe kusambaratika kiasi kile!?
Wataalam tupeni "ilim"
Eeh kwa hio unataka kusema Ndege za PA zina milango ya Mabus au?Ndege zetu zinajulikana bwashee
Unaikumbuka Fast Jet mlango kama DCM
Victor aliushikilia kwa mkono ujue!Eeh kwa hio unataka kusema Ndege za PA zina milango ya Mabus au?
Nlichogundua waTanzania hampendi facts! Sasa Engineer anayesafirishwa kwa ndege kweli anahitaji ajira ya zimamoto more over million 5? Sidhani.Wampe na yeye ajira zima moto na milion 5, ndo anachokitafuta
Kweli kabisa!Nlichogundua waTanzania hampendi facts! Sasa Engineer anayesafirishwa kwa ndege kweli anahitaji ajira ya zimamoto more over million 5? Sidhani.
Media ndio imemhoji otherwise sijaona aliposema anataka attention au recognition na serikali
Mlango wa dharula huwa una njia nyingi za kuufungua na ndomana ukawa wa dharula.Ina maana system ya ndege bado ilikuwa inafanya kazi hata baada ya ndege yenyewe kusambaratika kiasi kile!?
Wataalam tupeni "ilim"
Dakika au Sekunde ?, Si angeweka kitu kama Kasia au mikono yake haikuchoka ?Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic