Mkuu mjerumani, hafanyiwi hayo.Wakuu nina golf Mk3 nataka ku swap engine, niitoe ya vw niweke ya Toyota. Je ni engine gani inaweza kufit bila modification nyingi sana?
Ya starletWakuu nina golf Mk3 nataka ku swap engine, niitoe ya vw niweke ya Toyota. Je ni engine gani inaweza kufit bila modification nyingi sana?
Chukua engine yake urudishie mkuu, au hio iliopo ina shida gani?
Kauze screpa jipange ununue gari nyingine. Tafuta hata kipasso kikusogeze ukijipanga ununue golf ingine.Kaka hii ina sumbua vitu vingi. Kwanza kuna sensor imekufa linajia accelerate mpaka inaweza fika 100km/hr bila kukanyaga mafuta. Inabidi ung’ang’anie break na steering kama unaendesha farasi...
Mkuuu pole sana.Kaka hii ina sumbua vitu vingi. Kwanza kuna sensor imekufa linajia accelerate mpaka inaweza fika 100km/hr bila kukanyaga mafuta. Inabidi ung’ang’anie break na steering kama unaendesha farasi.
Pili ina chemsha balaa. Tatu gear box, niliwahi pamia tuta nikiwa 140, lile oil pan katika gearbox ikapinda basi inavujisha oil ya gearbox. Kwa ujumla gharama za kutengeneza kubwa sana
Na inajipa hata 100, inabidi mwamba akamatie brake kama farasiMkuuu pole sana.
Yaani gari inajipa mafuta yenyewe??? Hiii kali sana ayseee sijawahi skia hiii gari kujipelekea moto yenyewe.
Usema kweli mjerumani ana machine zake za kibabe sana, katika madaraja flani anayo yalenga. Ila Toyota nae ni mkali sana kwa madaraja yake.pia.Kama naliona battle la mjerumani vs mjepu
Kimeumana
Chuma gani hiyo mbona naona mercedes kwa bonnetUsema kweli mjerumani ana machine zake za kibabe sana, katika madaraja flani anayo yalenga. Ila Toyota nae ni mkali sana kwa madaraja yake.pia.
Hii kitu chini hadi leo navua shati kwa mjepu.. aliumba na ikaumbika.. sema pesa hapa ndio keshesheView attachment 1703327
Mercedez Benz Maybach S650Chuma gani hiyo mbona naona mercedes kwa bonnet
Umesema unamvulia shati mjepu, ulimaanisha mjerumani sioMercedez Benz Maybach S650
Mjereumani, ila competito wa hiyo gari ni BMW 7 Series, Audi A8, Lexus Ls 600h, na Jaguar XJ.. hata ukiangalia uchambuzi wa TopgearUmesema unamvulia shati mjepu, ulimaanisha mjerumani sio
Jamaa mpo nje ya mada ...jamaa kauliza engine ya toyota kwenye VW sasa mmemfikisha kwenye Mercedes... jamaniMjereumani, ila competito wa hiyo gari ni BMW 7 Series, Audi A8, Lexus Ls 600h, na Jaguar XJ.. hata ukiangalia uchambuzi wa Topgear
Poa mkuiuJamaa mpo nje ya mada ...jamaa kauoiza engine ya toyota kwenye VW sasa mmemfikisha kwenye Mercedes...
Hiyo VW yako inabidi uweke injini ya 3s-gte ndio itafanya vizuri. Ambayo imetumika kwenye Toyota Caldina,Alteza na Celica.
Kama ni mtunzaji mzuri wa gari tafuta engine ya Nissan Skyline RB26DETT ukifunga hii performance ni kubwa zaidi hata ya injini hiyo ya awali ya Golf.