Engine gani ya Toyota inaweza kufit katika VW golf mk3?

Acha dharau mkuu mjerumani umfungie engine ya mjapani [emoji23][emoji23] kuna dogo ni trucker mzee wa howo siku amekuja kuendesha iveco power star na benz actros akaniambia sasa amepata uelewa kuna magari na makopo yanayotembea
 
Hapa ndo team toyota hufurahi sana.
Kaka hii ina sumbua vitu vingi. Kwanza kuna sensor imekufa linajia accelerate mpaka inaweza fika 100km/hr bila kukanyaga mafuta. Inabidi ung’ang’anie break na steering kama unaendesha farasi.
Pili ina chemsha balaa. Tatu gear box, niliwahi pamia tuta nikiwa 140, lile oil pan katika gearbox ikapinda basi inavujisha oil ya gearbox. Kwa ujumla gharama za kutengeneza kubwa sana
 
Hiyo golf ni manual au auto Kama ni manual engine zake zipo huku nyingi na hazina bei ila tatizo kodi ya engine imeongezeka Mimi ningeona urudishie jiko lake halisi la mk3 Kama ni manual nipe kazi hiyo na gear box yake nikutafutie upokee tuduma hapo ulipie Kodi ukafunge kwenye gari yako huku vw na ford za zamani vipuli vipo hadi mtaani kwenye magereji sio mpaka kwa agent...
 
Mjereumani, ila competito wa hiyo gari ni BMW 7 Series, Audi A8, Lexus Ls 600h, na Jaguar XJ.. hata ukiangalia uchambuzi wa Topgear
Ok sawa ila Mimi naamini Benz ina radha tofauti sana asikwambie mtu na pia Benz wanatoa gari kila mwezi Kama upepo vile tena za maana ni vile kwetu Kodi mlima ndio maana tutazisikia sana kwenye mtandao ila hizo mashine ni vyombo aiseee... Mercedes Benz mimi naona Benz mpya machoni mwangu kila siku napokua road tena za maana unachoka wewe upende na kuchagua ipi
 
Upo sahihi, Merced Benz wapo vizuri sana, na ndio maana hata viongozi wa mataifa huzitumia
 
Kuna jamaa niliwahi muona kafunga 7a-fe ya Toyota kwenye golf zile za kitambo zinazofanana na za polisi miaka ile ila muhimu umpate mtaalam wa kuiset namna ya kukaa
 
Huwa nashangaa sana eti mtu anakwambia kati ya Audi A 8 na Benz ipi bora zaidi...ntakuja kutupia uzi ambao Benz zinazosumbua hizi hatchback na matoleo mengine ni hatari huyo mdudu..
Usema kweli nachojua Mercedez Benz anakitu chake cha kipekee. Ingawa sio kwamba kila gari yake ni nzuri zaidi kuliko gari za manufacture wengine, ila ana gari nzuri haswa ambazo huwezi weka ligi na gari zingine, mfano hizo Mercedez Myabach series zile gari huwezi fananisha na gari yoyote na hata kuna S Class au S AMG .. zile gari kaa nazo pembeni kabisa sio za kufananisha na gari zingine
 
Muda mwingi hoja za magari naziacha kwa sababu wengi wameona matokeo ya Benz ya nyuma kidogo aisee Mercedes Benz katoa pick up moja ni X nadhani ina nguvu sana kuliko Ford Cobra wala Toyota chui walizotoa sasa hivi ina mapumziko kweli ligi nyingi za humu ni za gari anayotumia ukimwambia hiyo hapana anaona Kama umemkebehi ipo hiyo X pick up ya Benz walitoa mwaka 2018 ni hatari mno ina nguvu,imara na starehe sana hapa SA penyewe hukutani nazo mara kwa mara ni gari kweli kweli...
 
Kuna mwamba nilimkuta nayo hiyo chuma pale Mlimani City , na bado ilikuwa na plate number za Gauteng
 
Kaka hii ina sumbua vitu vingi. Kwanza kuna sensor imekufa linajia accelerate mpaka inaweza fika 100km/hr bila kukanyaga mafuta. Inabidi ung’ang’anie break na steering kama unaendesha farasi.

Pili ina chemsha balaa. Tatu gear box, niliwahi pamia tuta nikiwa 140, lile oil pan katika gearbox ikapinda basi inavujisha oil ya gearbox. Kwa ujumla gharama za kutengeneza kubwa sana
Sasa kaka si ununue vifaa vinavyotakiwa. Kama hiyo sensor, bakuli chini na kuvireplace..... Ina mileage kiasi gani?!
 
Hiyo VW yako inabidi uweke injini ya 3s-gte ndio itafanya vizuri. Ambayo imetumika kwenye Toyota Caldina,Alteza na Celica.

Kama ni mtunzaji mzuri wa gari tafuta engine ya Nissan Skyline RB26DETT ukifunga hii performance ni kubwa zaidi hata ya injini hiyo ya awali ya Golf.
Mafundi wa kufanya hayo mautundu na ikarudi katika form wapo kweli? Na je bei zao zikoje?
Kwa mfano nataka kubadilisha engine ya 1JZ cc2500 ya Brevis kwa Engine na gear Box ya Premio au Allion 1ZZ inawezekana?
 
Mafundi wapo wakina GTP, Autobot garage.
Hizo European car zile BMW series 3 wanazofanyia spinning wa South Africa, baadhi wameziwekea injini za 1jz au 2jz.
 
Back
Top Bottom