Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Suala la kubadili injini lipo mpaka Ulaya na marekani ambapo spare na magari yanaundwa.Mafundi wa kufanya hayo mautundu na ikarudi katika form wapo kweli? Na je bei zao zikoje?
Kwa mfano nataka kubadilisha engine ya 1JZ cc2500 ya Brevis kwa Engine na gear Box ya Premio au Allion 1ZZ inawezekana?
USA Land Rover 110 watu kibao wanaziwekea injini za Cummins 5.7 diesel na gearbox wanafunga ZF yenye gear 8.