Engine gani ya Toyota inaweza kufit katika VW golf mk3?

Mafundi wa kufanya hayo mautundu na ikarudi katika form wapo kweli? Na je bei zao zikoje?
Kwa mfano nataka kubadilisha engine ya 1JZ cc2500 ya Brevis kwa Engine na gear Box ya Premio au Allion 1ZZ inawezekana?
Suala la kubadili injini lipo mpaka Ulaya na marekani ambapo spare na magari yanaundwa.

USA Land Rover 110 watu kibao wanaziwekea injini za Cummins 5.7 diesel na gearbox wanafunga ZF yenye gear 8.
 
Mafundi wa kufanya hayo mautundu na ikarudi katika form wapo kweli? Na je bei zao zikoje?
Kwa mfano nataka kubadilisha engine ya 1JZ cc2500 ya Brevis kwa Engine na gear Box ya Premio au Allion 1ZZ inawezekana?
Kama ukitoa 1JZ ya Brevis uweke 1G kavu au vvti, hiyo injini ya premio au Allion haitokuwa na nguvu ikilinganishwa na uzito wa body ya Brevis.

Moja ya athari itakuwa ni kutumia RPM kubwa ili upate mwendo mkali,utalalamika ulaji wa mafuta kuwa mbaya.
 
Mkuu nitakutafuta siku moja
 
Kama ukitoa 1JZ ya Brevis uweke 1G kavu au vvti, hiyo injini ya premio au Allion haitokuwa na nguvu ikilinganishwa na uzito wa body ya Brevis.

Moja ya athari itakuwa ni kutumia RPM kubwa ili upate mwendo mkali,utalalamika ulaji wa mafuta kuwa mbaya.
Ok, kwani 1G kavu si ni ile ya cc2000 ya Mark II na Verossa, hizo si ni 6 cylinder, kwani 1G ni afadhali kuliko 2JZ na au 1JZ? Maana zote hizo nijuavyo ni 6 Cylinder ingawa cc zake ni kubwa(2500 na 3000 zote ni D-4)
 
Hii ni auto bro, gharama inaweza fika kiasi gani?
 
Kamanda kwani we upo wapi? na je vipuli vya Ford Kuga ya 2007 vinapatikana?
 
Mkuu hio engine itakuua aisee toa haraka. Yani gari inaji accelerate yenyewe sasa si hatari hio 🤣
 
Mkuuu pole sana.
Yaani gari inajipa mafuta yenyewe??? Hiii kali sana ayseee sijawahi skia hiii gari kujipelekea moto yenyewe.
Ndio utagundua kwenye maisha kuna mengi bado hujayaona
 
Ok, kwani 1G kavu si ni ile ya cc2000 ya Mark II na Verossa, hizo si ni 6 cylinder, kwani 1G ni afadhali kuliko 2JZ na au 1JZ? Maana zote hizo nijuavyo ni 6 Cylinder ingawa cc zake ni kubwa(2500 na 3000 zote ni D-4)
Ubadilishaji wa engine hausaidii katika ulaji mafuta

Isipo kuwa kwa maswala mengine kwa Ni lazima kuwe na uwiano kati ya body na engine
 
Wakuu nina golf Mk3 nataka ku swap engine, niitoe ya vw niweke ya Toyota. Je ni engine gani inaweza kufit bila modification nyingi sana?
Yaani uchanganye mjapani na mjerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…