Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapunguze hio oil haraka vinginevyo itatafuta pa kutokea na itatoka.Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo.
Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi.
Je, hii inaweza ilaleta madhara gani kwenye engine?
Hii si kweli hata kidogo, mimi nasema afadhali oil kuzidi kuliko kupunguaKapunguze hio oil haraka vinginevyo itatafuta pa kutokea na itatoka.
Ni afadhali uweke oil pungufu (bila taa kuwaka) kuliko kuzidisha oil.
Sawa.Hii si kweli hata kidogo, mimi nasema afadhali oil kuzidi kuliko kupungua
Madhara ya oil kuzidi hayalingani na madhara ya oil kupungua hata kidogo
Asante sana kwa majibu mazuri mkuu ni petrolKiasi cha oil kinachozidi kwenye injini kinapunguza nafasi wazi iliokusudiwa kwa ajili ya hewa na mzunguko wa cranshaft kwa wepesi (injini inakuwa zito)
Kuna uwezekano mkubwa gari yako imewekewa oil nzito zaidi ya inayotumia ndio maana haivujishi kama mwanzo. Au wameweka STP.
Madhara yake ni kwa muda mrefu.
Piston rings zitazidiwa na uchafu zitashindwa kujitanua itaanza kuchelewa kuwaka na moshi.
Pia vitu vidogo vidogo kama oil prs switch itachelewa kuzima, nk.
Ni diesel au petrol?
Mkuu ndinga haina miezi ushaanza majaribio na mafundi?Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo.
Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi.
Je, hii inaweza ilaleta madhara gani kwenye engine?
Hii si kweli hata kidogo, mimi nasema afadhali oil kuzidi kuliko kupungua
Madhara ya oil kuzidi hayalingani na madhara ya oil kupungua hata kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh! WabongoHapa shida itakuwa pistons na vitu vingine kwenye engine vitakuwa havifiki chini au juu sababu vitakuwa vinaelea.