Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwa viscosity iko sahihi ila kwa Oil usiweke ambayo huna uzoefu nayo mkuu! Tafta akina Castrol au Liqui Molly kama una uoga na Total!Hello!
Naomba ufafanuzi juu ya lita za injini oil ngapi yafaa kuweka katika gari:
Aina: Toyota crown Athlete
Injini size: 2490cc
Yom: 2006
Maana nimeona google ni lita 6.6 lakini kuna mafundi wana sema lita 6 na wengine lita 5.8. Pia humu sijaona kutolewa ufafanuzi zaidi ya ufafanuzi wa recommended oil viscosit ya 5W40
Pia je oil za uturuki kama Afroturco Lubricants Zafaa kwa alietumia? Maana kuna changamoto nimeambiwa hizi oil zenye majina kama total Quartz, Castrol et al inabidi ujitahidi sana kununna kwa maajent kwani zinachakachuliwa sana na wauzaji wadogo wadogo
Rondo
Extrovert
et al
Kuna awamu moja niliweka oil ya Caltex nilijuta 😅😅😅 maana wakati wa kumwaga vilitoka vitu vya ajabu!