Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

Kila ukivuta stick unaona kitu iko safi? Hizo ndio Oil za kuweka aisee sema umaskini tu unasumbua wamatumbi wenzangu
Lakini gharama ya kumwaga oil kila 2000-3000km inazidi gharama ya kununua long life engine oil. Ni vile hatupigi hesabu za mbali.
 
Lakini gharama ya kumwaga oil kila 2000-3000km inazidi gharama ya kununua long life engine oil. Ni vile hatupigi hesabu za mbali.
Kimsingi hii imenigusa sana yani! Ni upuuzi kumwaga oil mara 3 kwa 180,000 wakati kwa 100,000 tu unaweza kudunda nayo miezi 3
 
Kimsingi hii imenigusa sana yani! Ni upuuzi kumwaga oil mara 3 kwa 180,000 wakati kwa 100,000 tu unaweza kudunda nayo miezi 3
Nimetembea miezi 6. Tangu nifanye service December 2020 nimekuja kufanya service tena few days ago
 
Sana aisee jawabu ni 5W~30 nothinG more
Mkuu grade ya oil imewekwa kutokana na hali ya hewa. 5W30 iko poa kwenye cooler regions (Manufacturers wengi wanaweka hii kutokana na mazingira yao, watumiaji wengi ughaibuni hua wanabadili oil grade ikifika winter au summer) but kwa joto la bongo, kuna muda inakua kama maji, viscosity inapungua, engine damage itatokea in the longrun (dalili hua zinaanza na leakage). 5W40/10W40 kwa bongo zinafaa. Kwa engine ilozeeka, 20w50 bongo itafaa.

Hakikisha oil unayonunua inakidhi Standards alizoweka manufacturer kama API CK-4, CJ-4, CI-4 PLUS, CI-4, ILSAC
 
Hello!
Naomba ufafanuzi juu ya lita za injini oil ngapi yafaa kuweka katika gari:

Aina: Toyota crown Athlete
Injini size: 2490cc
Yom: 2006

Maana nimeona google ni lita 6.6 lakini kuna mafundi wana sema lita 6 na wengine lita 5.8. Pia humu sijaona kutolewa ufafanuzi zaidi ya ufafanuzi wa recommended oil viscosit ya 5W40

Pia je oil za uturuki kama Afroturco Lubricants Zafaa kwa alietumia? Maana kuna changamoto nimeambiwa hizi oil zenye majina kama total Quartz, Castrol et al inabidi ujitahidi sana kununna kwa maajent kwani zinachakachuliwa sana na wauzaji wadogo wadogo

RRONDO
Extrovert
et al
Wakikujibu, tafadhali naomba Kujua pia Kiasi cha Oil IST CC 1500.
 
Shukrani saana Mkuu.Mnatoa Elimu ya Maana humu Ukiwemo wewe, More Appreciation Mkuu.
Ila mimi sipo Darslam nipo huku Kwenye Baridi kali mno, Mbeya na mara chache Njombe.
Vipi bado inafaa hiyo hiyo?
 
Back
Top Bottom