Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

Kwa viscosity iko sahihi ila kwa Oil usiweke ambayo huna uzoefu nayo mkuu! Tafta akina Castrol au Liqui Molly kama una uoga na Total!

Kuna awamu moja niliweka oil ya Caltex nilijuta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… maana wakati wa kumwaga vilitoka vitu vya ajabu!
 
Liqui molly bei imechangamka mmh[emoji848][emoji848][emoji848].
Anyway, vipi suala la lita ngapi?
 
Hii ndo Oil sahihi ya gari yakoView attachment 1819456
 

Attachments

  • 20210615_152658.jpg
    27.6 KB · Views: 35
Hii inapatikana wapi mkuu!?πŸ˜…
Liqui Moly wapo mikocheni karibu na mtaa wa Serengeti very expensive but oil safi sana. Au ukifika mitaa ya Mwalimu nyerere mitaa ya Shelly ya Camel wanakupeleka ifisini kwao....
mafuta ya mjerumani hayo unaweza tembea kilometa 10000 ndio ubadili mengine
Hata uki google unaweza wapata
 
Lita 6
 
Ubaya wabongo utashangaa mara wamechakachua wanatuwekea Fuchs ya kupima kwenye mapipa ileπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…