Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 133
Naunga mkono hojaMkuu, jichange ununue mashine nyingine tu. Acha ku overhaul utakuja kujikuta unagharamika kama ungenunua engine nyengine tu.
Yki overhaul unakuwa na uhakika wa vitu vipya kulikoni kununua used engine ni patapotea kikubwa upate fundi mzuri tu LEGE karibu kwa ushauriMkuu, jichange ununue mashine nyingine tu. Acha ku overhaul utakuja kujikuta unagharamika kama ungenunua engine nyengine tu.
Kuoverhaul engine hyo itakugharimu siyo chini ya laki 6 na bado huwezi kuwa na guarantee ya performance ya engine there after. Ushauri jipange ongeza pesa kdg uchukue engine nyingine uweke uendelee kufurahia gari lakoMkuu, jichange ununue mashine nyingine tu. Acha ku overhaul utakuja kujikuta unagharamika kama ungenunua engine nyengine tu.
Tatzo sio kununua nyingine ila je una uhakika atapata mpya au hizi used za biko maana anaweza akanunua hiyo unayomshauri mwisho wa siku akarudi kulekule tu. Hapo cha msingi afanye overhaul ila ahakikishe anafunga vipuri original na sio fambaKuoverhaul engine hyo itakugharimu siyo chini ya laki 6 na bado huwezi kuwa na guarantee ya performance ya engine there after. Ushauri jipange ongeza pesa kdg uchukue engine nyingine uweke uendelee kufurahia gari lako
Bro, it is only sensible when you do overhauling on a very expensive engine. Sio engine ya 1.3 au 1.5m (Sijui 1JZ ni how much ila najua 1G ni 1.3m) Ishu kwenye ku overhaul sio kwamba unapata new components, ukitaka kuweka new piston, unachange zote 6 zilizopo, this means engine head and block zinatakiwa zichongwe ili kufit new pistons setup. Sasa ishu ipo hapa kwenye uchongaji. Akikosea hapa kashakuvurgia laki zako 6 ama 7 au nane na vifaa vyako vipya. Sasa ili kuepusha hilo, kama engine inapatikana kwa bei rahisi ni vyema ukanunue.Yki overhaul unakuwa na uhakika wa vitu vipya kulikoni kununua used engine ni patapotea kikubwa upate fundi mzuri tu LEGE karibu kwa ushauri
Ukinunua engine unapewa na warranty... ikikubumia siku ya pili na kosa si lako unawarudishia tu. Muhimu uwe na risitTatzo sio kununua nyingine ila je una uhakika atapata mpya au hizi used za biko maana anaweza akanunua hiyo unayomshauri mwisho wa siku akarudi kulekule tu. Hapo cha msingi afanye overhaul ila ahakikishe anafunga vipuri original na sio famba
Samahani mkuu hv engine ya IST 1290 inaweza kuwa sh.ngap?Bro, it is only sensible when you do overhauling on a very expensive engine. Sio engine ya 1.3 au 1.5m (Sijui 1JZ ni how much ila najua 1G ni 1.3m) Ishu kwenye ku overhaul sio kwamba unapata new components, ukitaka kuweka new piston, unachange zote 6 zilizopo, this means engine head and block zinatakiwa zichongwe ili kufit new pistons setup. Sasa ishu ipo hapa kwenye uchongaji. Akikosea hapa kashakuvurgia laki zako 6 ama 7 au nane na vifaa vyako vipya. Sasa ili kuepusha hilo, kama engine inapatikana kwa bei rahisi ni vyema ukanunue.
unaponunua used engine, kuna watu wanafanya testing, unaweza kwenda na fundi ukashuhudia. ukiachilia hilo kuna watu wanakupa warranty ya engine, wengine miezi sita wengine mwaka mmoja kila mmoja na alivoamua.
Nilifanya overhaul ya 1GFE ili kuja kusizi ndani ya siku 2 na wala haikufika 30kms, nilijikuta nimepoteza hela ivi ivi na nkanunue engine nyengine ambayo ni 1.3m, nna miezi zaid ya nane hapa nabadilisha oil na oil filter tu, components nyengine zote zinapiga mzigo.
Ila kama engine yako milioni nne na overhaul laki 6-8 fanya overhaul.
Ushauri mzuri, anunue engine nyingine. Gari ikisumbua engine ama gear box ni kuibadilisha.Mkuu, jichange ununue mashine nyingine tu. Acha ku overhaul utakuja kujikuta unagharamika kama ungenunua engine nyengine tu.
si mtaalamu wa bei lkn nafkr ni 2MSamahani mkuu hv engine ya IST 1290 inaweza kuwa sh.ngap?
Huu ni ukweli mtupu...Siamini sana overhauling ya mafundi wa kibongo,walinifanyia ya gearbox nikaingia gharama kibao na bado ikaendelea kunisumbua mwishoe nikaishia kununua used gearbox ndio ikawa ponya yangu,kwahiyo hata mimi ningekushauri kama alivyoshauri mtu hapo juu,ujichange kununua engine kama hiyo used...
Asanteni wakuu, Naona hapa katika kusoma ushauri wenu, kununua engine nyingine ni bora kuliko overhauling, sababu ya mafundi wetu, ingawa overhauling inasaidia kupata new components ndani ya engine ila pia chochote kikikosewa katika process nzima ya overhaul basi unaweza kujikuta kweli umepoteza.
Naona niendelee kuliweka kwenye utafiti na mawazo niamue je ni overhaul ama ni replace...
Tulibadiki mwaka Jana haikufika hata million tulinunua pale ilala kwani ww uko wapi mkuu nikuunganishe nao?Samahani mkuu hv engine ya IST 1290 inaweza kuwa sh.ngap?
Haizidi 1.2 milioni mkuu.Samahani mkuu hv engine ya IST 1290 inaweza kuwa sh.ngap?