Engine overhaul

Engine overhaul

Ndio maana nkasema sio mtaalamu wa bei, lakini niliwahi kuulizia engine ya Spacio (nafikiri ni same engine na ist) nikaambiwa 2M.....
Mcheki 0714045070 anauza injini pale ilala hutajuta
 
kiongozi nimemcheki lakini amenambia hana bodykits
Subiri punde nitakuulizzia nitakupa na contacts. Ila njia nzuri Ni wewe mwenyewe kuzunguka madukani hususani Ilala au Tandale
 
Wakuu kwa engen ya 7a_fe hapo ilala ntaipata kwa kiasi gani? na je nitaijuaje engen hii bado iko poa au imechoka? na zinapokuja hizo engen zinakuwa zimeandikwa zimetembea umbali gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2017 nilipata 7A kwa 1.3m complete. Tafuta fundi ambae ndo atabadilisha hilo jiko au unadhani utaweza kubadili kwa kuangalia Youtube. acha ubahili
 
Back
Top Bottom