Engineer Hersi akili na personality yake hastahili kuwepo kwenye football ya Tanzania

Engineer Hersi akili na personality yake hastahili kuwepo kwenye football ya Tanzania

hadhi yake ni kubwa kuliko kukaa na vilaza huku kwenye mpira wetu unaoendeshwa kihuni huni!
Sasa kama unalikiri hili si anapaswa kuwa huko kuondoa hao vilaza na kufanya kuendeshwe bila uhuni? Mtu bora anapelekwa sehemu bora au sehemu isiyo bora ili akapaboreshe? Matokeo ya ubora wake yataonekana vp kama atapelekwa mahala palipoboreshwa na wenzake?
 
Kuna sehemu inaendeshwa kihuni zaidi ya huko unapotaka aende? Labda tu umeamua kujitoa fahamu

Bora hata huko kwenye mpira kuna uamuzi anaweza fanya yeye kama yeye kuliko huko kweye teuzi ambapo kazi yake kubwa itakua ni kumsifia boss wake na kugombana na wanasiasa
Mjadala umeufunga
 
Back
Top Bottom