Nampendea akili kubwaz...u know.Umempenda alivyo handsome, usivunge mamy K😀😀😀 akikugusa naamini utakuwa hoi😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampendea akili kubwaz...u know.Umempenda alivyo handsome, usivunge mamy K😀😀😀 akikugusa naamini utakuwa hoi😀
Aaah wapi, pamoja na akili kubwaz...lipo jambo hapo😀Nampendea akili kubwaz...u know.
Huyu ni wa Mogadishu,hasingiziwi hata kidogo.Si ni msomali huyu au wanamsingizia...
Hii nchi bana...sasa ndo wanataka apewe cheo serikaliniHuyu ni wa Mogadishu,hasingiziwi hata kidogo.
Kisa kamfurahisha Uto mmoja hapa sababu ya speech yake [emoji3][emoji3]Hii nchi bana...sasa ndo wanataka apewe cheo serikalini
Sasa kama unalikiri hili si anapaswa kuwa huko kuondoa hao vilaza na kufanya kuendeshwe bila uhuni? Mtu bora anapelekwa sehemu bora au sehemu isiyo bora ili akapaboreshe? Matokeo ya ubora wake yataonekana vp kama atapelekwa mahala palipoboreshwa na wenzake?hadhi yake ni kubwa kuliko kukaa na vilaza huku kwenye mpira wetu unaoendeshwa kihuni huni!
Kazi sana..kuna mwana uto alishasema anatamani angekua mwanamke aolewe na MayeleKisa kamfurahisha Uto mmoja hapa sababu ya speech yake [emoji3][emoji3]
Acheni ud'wanzi. Wares Karia na Bashe wana asili ya wapi na wana positions zipi hapa TzHuyu ni wa Mogadishu,hasingiziwi hata kidogo.
Mjadala umeufungaKuna sehemu inaendeshwa kihuni zaidi ya huko unapotaka aende? Labda tu umeamua kujitoa fahamu
Bora hata huko kwenye mpira kuna uamuzi anaweza fanya yeye kama yeye kuliko huko kweye teuzi ambapo kazi yake kubwa itakua ni kumsifia boss wake na kugombana na wanasiasa
Na mie Injinia nipende basi tuyajenge 😅😅Mi nampendaga tu injinia.😍
[emoji2]Kazi sana..kuna mwana uto alishasema anatamani angekua mwanamke aolewe na Mayele