Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

Ila bado timu haijaimarika vya kutosha. Juzi kwenye ushindi wa goli 5 kulikuwa na makosa mengi sana ya kiufundi yaliyochangia uchache wa magoli. Eng Hersi ahakikishe timu kupitia kocha inaondoa makosa yaliyojitokeza ili kwenye mzunguko wa pili tupate magoli mengi zaidi dhidi ya Simba.
Ni kweli timu haijakamilika lakini kuna kitu kikubwa sana kimeonekana kuliko hata watu walivyotegemea.

Timu imendokewa na benchi zima la ufundi lakini Eng Hersi ameweza kufanya replacement katika eneo gumu sana, vipi kuna pengo la Nabi mtu kaliona?
Kuna pengo la kocha wa viungo likionekana?
Kuna pengo la kocha wa makipa limeonekana?

Wameondoka wachezaji na wamekuja wacheza moto sana
Max, Pacome na Yao Kwasi ni kazi nzuri sana la jicho la mpira.

Mpaka hapa tutoe credit hakuna aliyetegemea timu itafikia hapa ilipo, kwavile kocha yupo na Eng. Hersi ni mtu wa mpira, bila shaka dirisha dogo litatumika kwaajili ya kurekebisha mapengo mapengo yaliyojitokeza.
 
Ila bado timu haijaimarika vya kutosha. Juzi kwenye ushindi wa goli 5 kulikuwa na makosa mengi sana ya kiufundi yaliyochangia uchache wa magoli. Eng Hersi ahakikishe timu kupitia kocha inaondoa makosa yaliyojitokeza ili kwenye mzunguko wa pili tupate magoli mengi zaidi dhidi ya Simba.
Watakimbia lingi usiwatishe. Ha ha haaaa!
 
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.

Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.

Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.

Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia
Sina interest na mambo ya vilabu vingine; ninaangalia ushindi wa Yanga tu.
 
Ni kweli timu haijakamilika lakini kuna kitu kikubwa sana kimeonekana kuliko hata watu walivyotegemea.

Timu imendokewa.na benchi zima la ufundi lakini eng. Eng anaafanya replacement katika eneo gumu sana, vipi kuna pengo la Nabi mtu kaliona?
Kuna pengo la kocha wa viungo likionekana?
Kuna pengo la kocha la makipa limeonekana?

Wameondoka wachezaji na wamekuja wacheza moto sana
Max, Pacome na Yao Kwasi ni kazi nzuri sana la jicho la mpira.

Mpaka hapa tutoe credit hakuna aliyetegemea timu itafikia hapa ilipo, kwavile kocha yupo na Eng. Hersi ni mtu wa mpira, bila shaka dirisha dogo litatumika kwaajili ya kurekebisha mapengo mapengo yaliyojitokeza.
Kimsingi sio TU kwamba hakuna pengo ila Kuna improvement kubwa sana binafsi sikuamini kabisa kama nafasi ya kocha inaweza kuzibwa kwa burudani namna hii
Usajili wa Max Pacome Yao Kibabage na kocha wa viungo aah ni miles nyingi sana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.

Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.

Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.

Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia

Ndivyo inavyotakiwa, ili soka letu likuwe lazima tufike standards fulani. Eng amefanikiwa acha team zingine zi follow

Ifike mahali vilabu vyetu viondokane na viongoz waswahili ambao si professional kabisa
 
Na ndio yamekuwa maombi yetu ya mda mrefu kuona tunakuwa na viongozi wenye maono kama ya waanzilishi wa hizi team
Jamaa kaonesha anaitaka afrika Sasa anatumia nguvu na akili kuhakikisha Hilo linafanikiwa
Utulivu ndani ya club umekuwa mkubwa sana halafu Kuna yule jamaa pale technical director Walter Harrison hatajwi sana ila yuko vizuri sna
 
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.

Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.

Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.

Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia
Zile semina za la liga ,zimewajenga
 
Uongozi na usajili na ameondoa makundi yasiyo na tija kwa team
Mafanikio mnayopigia kelele kuna timu ilichukua makombe karibu yote kwa misimu minne mfululizo mbona hata hajayafikia?

Hersi anapita kwenye script ya Barbra tu hana creativity yoyote.

Wanachokifanya Yanga kwa sasa ni hicho hicho walivyokuwa wakifanya Simba misimu sita iliyopita.
 
Back
Top Bottom