Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu Afrika na ndio Rais wa kwanza wa African clubs.
Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa.