Engineer Hersi ashinda Uenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika African Clubs Association, hongera kijana

Engineer Hersi ashinda Uenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika African Clubs Association, hongera kijana

Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu afrika na ndio Rais wa kwanza wa african clubs.

Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa
Aligombea na nani?
Au kateuliwa tu?
 
Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.

Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.

Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.

Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.

Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:

Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe

Wote alikataa.
sawa Mfuasi mtiifu wa Micky Jr
 
Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.

Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.

Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.

Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.

Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:

Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe

Wote alikataa.
Are you normal?
 
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu Afrika na ndio Rais wa kwanza wa African clubs.

Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa.
Unamsaada gani kwa club yake kwanza pia tz?
 
Tumetoka kusema juzi hapa, hizo shughuli zote hastahili kwenda huyo Salim kwa cheo chake wala kwa uwezo wake binafsi. Kajula ndiye mtendaji wa shughuli za kila siku za Simba na ana ucheshi na pia anazungumza kiingereza kilichonyooka ila wamemfanya CEO wa kufungua magroup ya whatsapp.
Kwani Engr Hersi ameshika nafasi sawa na ya kajula? Utaona jinsi ulivyotoka nje ya mstari tukaleta ushabiki
 
Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.

Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.

Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.

Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.

Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:

Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe

Wote alikataa.
Tuletee uthibitisho unaonesha kuwa wengine walikataa

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwani Engr Hersi ameshika nafasi sawa na ya kajula? Utaona jinsi ulivyotoka nje ya mstari tukaleta ushabiki
Tukienda huko unapotaka utakuja kukuta hata Hersi hakustahili maana siyo mtendaji mkuu wa klabu
 
Hatimaye Yale maombi ya mbumbumbu ya kuwa na kiongozi smart eng. Hersi yamejibiwa
 
Back
Top Bottom