cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu
Aligombea na nani?
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu afrika na ndio Rais wa kwanza wa african clubs.
Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa
sawa Mfuasi mtiifu wa Micky JrHersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Are you normal?Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Unamsaada gani kwa club yake kwanza pia tz?
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu Afrika na ndio Rais wa kwanza wa African clubs.
Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa.
Kwani Engr Hersi ameshika nafasi sawa na ya kajula? Utaona jinsi ulivyotoka nje ya mstari tukaleta ushabikiTumetoka kusema juzi hapa, hizo shughuli zote hastahili kwenda huyo Salim kwa cheo chake wala kwa uwezo wake binafsi. Kajula ndiye mtendaji wa shughuli za kila siku za Simba na ana ucheshi na pia anazungumza kiingereza kilichonyooka ila wamemfanya CEO wa kufungua magroup ya whatsapp.
Tuletee uthibitisho unaonesha kuwa wengine walikataaHersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Tukienda huko unapotaka utakuja kukuta hata Hersi hakustahili maana siyo mtendaji mkuu wa klabuKwani Engr Hersi ameshika nafasi sawa na ya kajula? Utaona jinsi ulivyotoka nje ya mstari tukaleta ushabiki