Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mhuni Ni mhuni tu.Kila siku unaendelea kuweka alama ya kiuongozi licha ya umri wako mdogo, kuiongoza yanga kimafanikio na kwa uweledi ni moja ya chachu iliyokufanya ukubalike na viongozi wenzako wa vilabu BARANI AFRIKA na kukupa nafasi iyo adhimu!
Endelea kuchapa kazi na uwekeze kwenye vitendo zaidi badala ya maneno tunaamini unatengeneza njia nzuri zaidi kuzikwaa nafasi nyeti kwenye uongozi wa soka la afrika!
Kipindi unaingia yanga walikuita mhuni, msela na majina mengine mengi lakini unawaonyesha kwamba uko very smart kwenye suala la kiuongozi na unaendelea kuwafunga midomo, ikumbukwe kwenye mkutano huo pia aliudhuria mwenyekiti wa Simba bwana Try again!
Bwana eeeh, kwani si ni Rais wa Yanga au?Na wewe umenasa kwenye huu ujingaπ€£π€£
Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu afrika na ndio Rais wa kwanza wa african clubs.
Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa
Leta supporting documents hapaHersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Hahahahaha..hii umeitafsiri sio yako ,..Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Wacha weeeeeHersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Wivu ni mbaya sana.Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
AahaaaaaHii picha ilijieleza mapema kumbe
Tumeshanunua msuli...πππMsije sahau Al Ahly yuko mjini Dar!