Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Feb 22, 2024 #41 Dabil said: Sijawahi kuiona mkuu,ila sisi kuna mengi hayaeleweki compare na upande wa pili,labda chain ya wapigaji wetu ni kubwa kuliko wao Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Chain ya upigaji simba ni kubwa sana, una try again, ceo, mangungu na bado dewji mwenyewe wote hawa kwa namna moja wanataka kunufaika na simba ni changamoto
Dabil said: Sijawahi kuiona mkuu,ila sisi kuna mengi hayaeleweki compare na upande wa pili,labda chain ya wapigaji wetu ni kubwa kuliko wao Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Chain ya upigaji simba ni kubwa sana, una try again, ceo, mangungu na bado dewji mwenyewe wote hawa kwa namna moja wanataka kunufaika na simba ni changamoto
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 22, 2024 #42 Mimi Tate Mkuu ndoto yangu ni kuona tu siku moja Yanga inamiliki uwanja wake wa kisasa kama ule wa Azam Complex. Full stop. 🛑
Mimi Tate Mkuu ndoto yangu ni kuona tu siku moja Yanga inamiliki uwanja wake wa kisasa kama ule wa Azam Complex. Full stop. 🛑