Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Chain ya upigaji simba ni kubwa sana, una try again, ceo, mangungu na bado dewji mwenyewe wote hawa kwa namna moja wanataka kunufaika na simba ni changamotoSijawahi kuiona mkuu,ila sisi kuna mengi hayaeleweki compare na upande wa pili,labda chain ya wapigaji wetu ni kubwa kuliko wao
Sent using Jamii Forums mobile app