Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dizaini hii ndio inafanya mnara uchelewe maana inamsumbua mjenzi[emoji1][emoji1]Hahahahahaha...mfuatilie vzr ..ni leo tu kaongea ukweli
Mkuu mi ushabiki wangu ni wa kwenye mechi huko tutaparuana ila kwenye maendeleo lazima niwe wazi maana tatizo tunalionaHahahahahaha...kama wewe unasema hivi basi ...nimeelewa
Hahahahaha..sasa nimekuelewa MkuuMkuu mi ushabiki wangu ni wa kwenye mechi huko tutaparuana ila kwenye maendeleo lazima niwe wazi maana tatizo tunaliona
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anajitahidi sana kila uchao kuongeza vyanzo vya mapato Kwa timu yake. Jamaa ana akili anahitaji pongezi.Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.
Kila mkataba wa Yanga kuna uwazi tofauti na Simba ambayo mikataba na matumizi ya hela wanaojua ni genge la wachache.
Leo Yanga imeingia mkataba wa miezi 18 na kampuni inayotengeneza pikipiki ( Hero).
Mkataba unaruhusu matawi ya Yanga kupata posho na kufaidika.
Simba tuna vyanzo vya kuingiza hela ila matumizi hayajulikani,mkataba wa bidhaa za Mo kwenye jezi ni siri za wachache,Simba App hela inakoingia wanajua wao, matangazo ya kamari shabiki bingwa wanajua wenyewe,hata michango ya wanachama kwa ajili ya uwanja wanasema ni matumizi mengine hatujui ni ya familia za watu au wakati hayakutumika kwenye ujenzi wa uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana..KPI inafanya kaziUongozi wa Yanga umetengeneza ushindani kwenye idara zake na wafanyakazi Wana mikataba.
Endapo idara Yako haifanyi vizuri katika ubunifu wa kui ingizia klabu mapato ina maana hakuna sababu ya kufanya klabu indelee kuwa na wewe.
Hali iyo inaongeza ubunifu katika kui ingizia kipato idara/klabu.
Hersi na GSM walikua wana utaka mpira ..jamaa walianza na Maji Maji ya Songea wakaona kule ni kupoteza muda ..wakajipanga wakaingia YangaJamaa anajitahidi sana kila uchao kuongeza vyanzo vya mapato Kwa timu yake. Jamaa ana akili anahitaji pongezi.
Mkuu uongozi wa Yanga hauna urasimu mkubwa, Boss na mdhamini mkuu ni GSM, anayefuata ni Hersi ambaye ndo rais wa timu ,kwa upande wa wanachama yeye ndo wa mwisho,vingine ni vitengo vidogo, ambavyo viko chini yake.Uongozi wa Yanga umetengeneza ushindani kwenye idara zake na wafanyakazi Wana mikataba.
Endapo idara Yako haifanyi vizuri katika ubunifu wa kui ingizia klabu mapato ina maana hakuna sababu ya kufanya klabu indelee kuwa na wewe.
Hali iyo inaongeza ubunifu katika kui ingizia kipato idara/klabu.
Unanisema mimiLengo lako ni kuona timu ya Simba inasonga mbele kimaendeleo maana raslimali watu na vyanzo inavyo. Unasema kasoro unayoiona ni matumizi ya hivyo vyanzo (fursa) na uwazi katika mauzo na matumizi. Utashangaa anajaitokeza hapa Simba asili atakupinga bila vigezo na atatoa mifano ya Pan African au Azam.
Katika hayo ambayo hayaeleweki, kuna jambo ambalo linahusisha mkataba hewa?Sijawahi kuiona mkuu,ila sisi kuna mengi hayaeleweki compare na upande wa pili,labda chain ya wapigaji wetu ni kubwa kuliko wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya Agakhan nainafanisha na vitambulisho vya machingaAu unazungumzia mkataba wa punguzo la 5% kumuona daktari wa Aga Khan kwa sh. 70,000/= wakati kuna mahali daktani anaonwa kwa sh. 10,000/= bila punguzo? Akili ni nywele, muhindi ana akili kulko mwarabu na msomali
Hebu tuanze kwanza na ile 20b ya uwekezaji iko wapi?Katika hayo ambayo hayaeleweki, kuna jambo ambalo linahusisha mkataba hewa?
Nitajie hayo ambayo hayaeleweki tupime uzito.
Simba kwenye mikataba ni timu ambayo imeonesha unafuu wa kuwa makini kuliko timu nyingine yeyote.
Nipe references kutoka Simba ambazo zinakufanya uione Yanga ipo bora eneo hilo.
Angali hapa kuna majibu ya maswali yako yoteHebu tuanze kwanza na ile 20b ya uwekezaji iko wapi?
HakikaHersi na GSM walikua wana utaka mpira ..jamaa walianza na Maji Maji ya Songea wakaona kule ni kupoteza muda ..wakajipanga wakaingia Yanga