Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

"Football is mathematical and lucky" kwa mwanamichezo yeyote anaelewa soka anajua hili na hapigi kelele za kipumbavu
 
DIT wameanza lini kutoa shahada ya structural Engineering
 
Watu wanataka brandy.
Ukitaka kuamini kwa utajiri wa Mo asingeshindwa kuanzisha team. Lakini ni ngumu kuutoa usimba na uyanga Tanzania. Nyuma ya pazia kwenye hizi team kuna manufaa makubwa kibiashara wananufaika hawa watu.
Inaweza kuwa sehemu ya kutakatatisha fedha pia.
,
 
... Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Hapo ndipo Hersi alipofanikiwa kucheza na akili za washabiki wa aina yako, kwamba mchezaji aliye huru hana kiwango kizuri kuliko aliye na mkataba! Nadhani alisema hivyo wakati akivunja mikataba ya akina Tuisila na Tonombe kule AS Vita, lakini huyo huyo Hersi hakusema kitu (maana alijua atakuwa anajicontradict) alipowasainisha wachezaji huru akina Sarpong na Yacouba! Ni ajabu washabiki wa Yanga dizaini yako wameendelea kuamini kwamba wachezaji wanaovunjiwa mkataba ndio wazuri zaidi! Umesahaulishwa kwamba hata Yikpe alinunuliwa kutoka Gor Mahia akiwa na mkataba. Umesahaulishwa kwamba Morrison amechukuliwa kama mchezaji huru. Umesahaulishwa kwamba hata Nchimbi ana mkataba!
 
Mleta mada ametaka kujua Said Hers ni nani? Hayo ya ombwe umeyaleta wewe! Haya turudi kwenye lengo la Thread Said Hers ni Nani?
Maadam mada ipo jukwaa la Sport ...ndio tukamjadili kwa muktadha wa huu ...ukiweka kwa ujumla wake ,wengine watakwambia Ana watoto 10,Ana kimada Buza nk !
 
Siasa tu zile upewe 1.2B ukatae
While waweza tafuta mchezaji mzuri kwa 300m..
Sasa mfano kimataifa ile beki ya wawa na onyango..
Kipa manula
Striker ilamfya na magulu???

Maana kagere na boko jua lishazama kimataifa.
Wewe unaamini kale kamakonde kana thamani hiyo?
 
jakaya alimaliza kabisa ile siku ya wananchi
 
Yaaani we hopeless kabisa. Unaamini kabisa kabisa kuwa hili ni jibu la swali lililoulozwa? Najua unajua mambo mengi ya kisoka, lakini mbona umeamua kujitungia swali jingine nakujibu kitu kisicho husiana kabisa na swali? Soma kwanza swali hafu ujibu kitu sahihi!
 
Sasa kama majibu unayo mwenyewe ulileta mada yako jamvini ili iweje?

Jinga kabisa.
 
Tanzania kila mtu ni mtaalamu na wewe tupe cv zako acha kutuburuza kwa mapungufu yako uliojioma.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Mimi hopeless alafu najua Mambo ya Soka!?Sasa mkuu hiki jinkijiwe Cha Spoti ukiuliza Eng Hersi lazima tukujibu kwa nuktadha wa kijiwe hiki!
Sasa kwenye Spoti tukisnza kusema Ni Eng. Wa mitambo ,au anafundisha Madrasa fulanihuoni tutakuwa tunatoka nje!
 
UTARATIBU WA MASHINDANO YA CAF
Utaratibu utatumika kama kwa mashindano yaliyomalizika msimu huu ila kilichobadilika ni muda wa mashindano sasa yanaanza rasmi 20 NOVEMBER 2020 na kumalizika 17 JULY 2021 na inavyoosha ni kuwa mwezi November hadi December 2020 ni mechi za Preliminary halafu mwezi February hadi April ndio kuanza Group Stage na mwezi May ni Robo Fainal, Mwezi June ni Nusu Fainal mwisho Fainal ni mwezi July 2021.

RATIBA KAMILI IKO HIVI

Hapa ni kwa Timu zote CL na CC

PRELIMINARY ROUND
20 - 22 November. - 1st Leg
27 - 29 November - 2nd Leg

1ST ROUND
11 - 13 December - 1st Leg
18 - 20 December - 2nd Leg

ZIADA KWA KOMBE LA SHIRIKISHO PEKEE
12 - 13 February 2021 - 1st Leg
18 - 19 February 2021 - 2nd Leg

DRAW GROUP STAGE
- 17 January 2021 - Draw ya Champion League Group Stage.
- 20 February 2021 - Draw ya Confederation Cup Group Stage.

CHAMPIONSHIP LEAGUE - GROUP STAGE
12 - 13 February 2021 - Match 1
23 - 24 February 2021 - Match 2
05 - 06 March 2021 - Match 3
16 - 17 March 2021 - Match 4
02 - 04 April 2021 - Match 5
09 - 11 April 2021 - Match 6

CONFEDERATION CUP - GROUP STAGE
10 - 11 March 2021 - Match 1
16 - 17 March 2021 - Match 2
02 - 04 April 2021 - Match 3
09 - 11 April 2021 - Match 4
21 - 22 April 2021 - Match 5
27 - 28 April 2021 - Match 6

30 APRIL 2021 - DRAW
Draw QUARTER FINAL - FINAL kwa Championship League CL na Confederation Cup CC.

QUARTER FINAL - CAF InterClub
14 - 16 May 2021 - 1st Leg
21 - 23 May 2021 - 2nd Leg

SEMI FINAL - CAF Interclub
18 - 21 June 2021 - 1st Leg
25 - 27 June 2021 - 2nd Leg

FINAL CAF INTERCLUB 2020/20201

Confederation Cup - CC
10 JULY 2021

Championship League - CL
17 JULY 2021
 
Kwa mapenzi wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla Tanzania, ni vizuri kwanza kabla ya kutaka kumfahamu Injinia Hersi Saidi, nawashauri jitahid kwanza kumjua Tajiri yake yaani GSM! Hivi kweli Yanga as a club na viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla, mnamfahamu GSM, mfadhili wa Yanga kweli!? Kiufupi labda niwadokeze na kutokea hapo nanyi muanze utafiti wenu; utafiti utakawapa fursa, mwanga na mwangaza wa kumjua mfadhili wa Yanga. GSM stands for GHARIB SALIM MOHAMED. Huyu ndiye mmiliki wa hiyo kampuni inayofadhili Yanga, GSM. Huyo mmiliki anasaidiana na mdogo wake aitwaye SAID SALIM MOHAMED. Hawa ndio walikuwa wamiliki wa kampuni moja iliyokuwa hapa nchini ikiitwa HOME SHOPPING CENTRE, mnaikumbuka HOME SHOPPING CENTRE na vituko vyake dhidi ya Serikali yetu, hasa ya awamu ya tano? Injinia ni mwajiriwa wao tu, labda kwa vile anaijua mikingamo ya humu nchini.

Hawa walikuwa wakidaiwa sana na TRA, wakaona isiwe taabu wakajitangaza WAMEFILISIKA ili wasilipe kodi. Mnafahamu hilo. Leo wamekuja kama GSM na kujiingiza kwenye soka letu kwa bidi sana. Wana nia njema na nchi hii kweli? Wana nia njema na soka letu kweli? Au ni njia nyingine ya kutaka utajiri wetu through football? Worse still these guys are not citizens of Tanzania nor are they investors. Hawa ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu, they are after FAIDA. Kama hakuna faida, hapo siyo pao. Tusubiri tuone na infact mambo mengi juu ya GSM yataibuka tu, Watanzania hawanaga SIRI. Kwaheri kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…