rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ushaona mwanaume kamili anajiita Pancho peleka biashara yako sehemu nyingine sio kila unayemkuta anataka mapenzi ya jinsia mojandio uje hata wewe binti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaona mwanaume kamili anajiita Pancho peleka biashara yako sehemu nyingine sio kila unayemkuta anataka mapenzi ya jinsia mojandio uje hata wewe binti
kuna mdada anajiita rodrick hope ushaelewa binti/Ushaona mwanaume kamili anajiita Pancho peleka biashara yako sehemu nyingine sio kila unayemkuta anataka mapenzi ya jinsia moja
"Football is mathematical and lucky" kwa mwanamichezo yeyote anaelewa soka anajua hili na hapigi kelele za kipumbavuHoroya ina cheap players kuliko simba.. na imefika semi final caf champions league wakati nyingi mmeishia robo... na mwaka huu tena horoya imefika semi final ya caf confederations cup
Zesco ameshafika semi final pia akiwa na cheap player kuliko simba
Ni sawa na lyon kumtoa man city haimaanishi lyon ni club bora yenye wachezaji wazuri kuzidi man city
Ama wolves kumfunga liverpool ama manchester utd haimaanishi wolves ni timu yenye wachezaji wazuri kuzidi liverpool ama man utd
Kuna kitu kinaitwa bahati pia kwenye soka.. simba mlipata hiyo bahati kama waliyoipata horoya ama zesco
Jiulize kwa nini simba kufika robo fainali ni story kubwa huku mazembe na mamelodi wanafika kila msimu kwa miaka kibao
DIT wameanza lini kutoa shahada ya structural EngineeringProfessionally, Hersi ni Structural Engineer, na ni mwajiriwa wa GSM, na ni one from GSM's Top Management Team Members.
Yupo GSM kwa miaka mingi tu na wala sio kwamba yupo pale kwa ajili ya Yanga kama wengine wanavyojaribu kumaanisha!
Anafahamika sasa kama ambavyo wengine wote inavyokuwa pindi wanapoingia kwenye sports industry! Na kufahamika kwake kunatokana na GSM kuonesha nia ya kununua hisa za Yanga kama alivyofanya Mo kwa Simba.
Na kwavile GSM hivi sasa wanahusika moja kwa moja na shughuli za Yanga, ndipo ulionekana umuhimu kama sio ulazima wa kuwepo mwakilishi wa GSM pale Yanga ambae kwa upande huo Hersi mwanzoni alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, na kwa sasa nadhani anahudumu kama Mwenyekiti (or Makamu) wa Kamati ya Usajiri ya Yanga na pia Mjumbe wa Kamati ya Mabadiliko ya Yanga... yaani from 100% Yanga Wanachama to Yanga owned by shares (kampuni).
Shahada yake ya structural engineering amechukulia DIT
Inaweza kuwa sehemu ya kutakatatisha fedha pia.Watu wanataka brandy.
Ukitaka kuamini kwa utajiri wa Mo asingeshindwa kuanzisha team. Lakini ni ngumu kuutoa usimba na uyanga Tanzania. Nyuma ya pazia kwenye hizi team kuna manufaa makubwa kibiashara wananufaika hawa watu.
Yaaah... Pia.Inaweza kuwa sehemu ya kutakatatisha fedha pia.
,
Hapo ndipo Hersi alipofanikiwa kucheza na akili za washabiki wa aina yako, kwamba mchezaji aliye huru hana kiwango kizuri kuliko aliye na mkataba! Nadhani alisema hivyo wakati akivunja mikataba ya akina Tuisila na Tonombe kule AS Vita, lakini huyo huyo Hersi hakusema kitu (maana alijua atakuwa anajicontradict) alipowasainisha wachezaji huru akina Sarpong na Yacouba! Ni ajabu washabiki wa Yanga dizaini yako wameendelea kuamini kwamba wachezaji wanaovunjiwa mkataba ndio wazuri zaidi! Umesahaulishwa kwamba hata Yikpe alinunuliwa kutoka Gor Mahia akiwa na mkataba. Umesahaulishwa kwamba Morrison amechukuliwa kama mchezaji huru. Umesahaulishwa kwamba hata Nchimbi ana mkataba!... Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Maadam mada ipo jukwaa la Sport ...ndio tukamjadili kwa muktadha wa huu ...ukiweka kwa ujumla wake ,wengine watakwambia Ana watoto 10,Ana kimada Buza nk !Mleta mada ametaka kujua Said Hers ni nani? Hayo ya ombwe umeyaleta wewe! Haya turudi kwenye lengo la Thread Said Hers ni Nani?
Wewe unaamini kale kamakonde kana thamani hiyo?Siasa tu zile upewe 1.2B ukatae
While waweza tafuta mchezaji mzuri kwa 300m..
Sasa mfano kimataifa ile beki ya wawa na onyango..
Kipa manula
Striker ilamfya na magulu???
Maana kagere na boko jua lishazama kimataifa.
Afadhari wewe umejitahidi japo kujibu alichouliza mleta THREAD lakini waliobakia ni blah blah nyingi.Mtanzania ila anaasili ya usomali, kwao Dodoma Maili mbili mtaa wa usomalini darajani
jakaya alimaliza kabisa ile siku ya wananchiKwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
Yaaani we hopeless kabisa. Unaamini kabisa kabisa kuwa hili ni jibu la swali lililoulozwa? Najua unajua mambo mengi ya kisoka, lakini mbona umeamua kujitungia swali jingine nakujibu kitu kisicho husiana kabisa na swali? Soma kwanza swali hafu ujibu kitu sahihi!Kwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
Sasa kama majibu unayo mwenyewe ulileta mada yako jamvini ili iweje?Yaaani we hopeless kabisa. Unaamini kabisa kabisa kuwa hili ni jibu la swali lililoulozwa? Najua unajua mambo mengi ya kisoka, lakini mbona umeamua kujitungia swali jingine nakujibu kitu kisicho husiana kabisa na swali? Soma kwanza swali hafu ujibu kitu sahihi!
Tanzania kila mtu ni mtaalamu na wewe tupe cv zako acha kutuburuza kwa mapungufu yako uliojioma.Kwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
😀 😀 😀 Mimi hopeless alafu najua Mambo ya Soka!?Sasa mkuu hiki jinkijiwe Cha Spoti ukiuliza Eng Hersi lazima tukujibu kwa nuktadha wa kijiwe hiki!Yaaani we hopeless kabisa. Unaamini kabisa kabisa kuwa hili ni jibu la swali lililoulozwa? Najua unajua mambo mengi ya kisoka, lakini mbona umeamua kujitungia swali jingine nakujibu kitu kisicho husiana kabisa na swali? Soma kwanza swali hafu ujibu kitu sahihi!
UTARATIBU WA MASHINDANO YA CAFHayo mashindano ya kimataifa yataanza lini? Fainali zinachezwa November.
Kwa haraka zaidi labda December au January. Hapo hujazugumzia kwa mfano, Simba ianze na Gor, itabidi wachezaji wote wapimwe halafu wawekwe quarantine two weeks wakiwa Kenya. Hapo patachezeka kweli?
Bado nchi kibao huwezi kuingia na zimefunga shughuli za michezo. Kuna uwezekano mkubwa michuano ikafutwa kwa next season.
Hatuna shida sisi tunasubiri tarehe ifike tuwazibue tuSasa mikia mnataka nini
Kwa mapenzi wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla Tanzania, ni vizuri kwanza kabla ya kutaka kumfahamu Injinia Hersi Saidi, nawashauri jitahid kwanza kumjua Tajiri yake yaani GSM! Hivi kweli Yanga as a club na viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla, mnamfahamu GSM, mfadhili wa Yanga kweli!? Kiufupi labda niwadokeze na kutokea hapo nanyi muanze utafiti wenu; utafiti utakawapa fursa, mwanga na mwangaza wa kumjua mfadhili wa Yanga. GSM stands for GHARIB SALIM MOHAMED. Huyu ndiye mmiliki wa hiyo kampuni inayofadhili Yanga, GSM. Huyo mmiliki anasaidiana na mdogo wake aitwaye SAID SALIM MOHAMED. Hawa ndio walikuwa wamiliki wa kampuni moja iliyokuwa hapa nchini ikiitwa HOME SHOPPING CENTRE, mnaikumbuka HOME SHOPPING CENTRE na vituko vyake dhidi ya Serikali yetu, hasa ya awamu ya tano? Injinia ni mwajiriwa wao tu, labda kwa vile anaijua mikingamo ya humu nchini.Habari za saizi aise,
Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie
1. kazaliwa wapi na lini?
2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?
3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?
4. Anacheo gani yanga?
5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?
6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?