Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Kwahiyo injinia huwa anatumwa tuu
Sasa hapo injinia anaona ndio nafasi ya kuuaga umasikini
GSM nae anaona Yanga ndio njia ya kumkaribia Mo kwenye pesa
 
Upo sahihi lengo ni kuwa na 'Power' , power ni ulinzi mkubwa sana katika jamii.ndo maana MO haoni ajabu kusema " magufuli hoyeeeee ". Ili kuilinda nguvu yake kibiashara.
Hapo ulitaka kuandika Andrew Chenge au Andy Chande!? Anyway unachosema ni kweli kabisa, hawa GSM kama wafanyabiashara wengine wote, wanazo pesa ila wanachotafuta ni hiyo"power" - kwa maana yoyote ile - hapa kwetu, si unajua hao ni wageni, ni wa YEMEN, hivyo wanataka wajijenge hapa nchini na kutafuta utajiri zaidi kwani this country is rich ndugu yangu asikwambie mtu. Kuna utajiri wa mali asili na wa kila aina ili mradi ujue namna ya kutumia hizo fursa na hasa hasa kama una pesa zako za kufanyia hizo biashara - kwa njia za halali na hata za haramu. GSM wana maduka mengi na biashara nyingi ikiwa na hii ya "kuwekeza" Yanga. Pia hawa ni wafanyabiashara kama alivyo mfanyabiashara yoyote yule, hawezi kuwekeza mahali bila kuwa na uhakika wa kupata FAIDA. Chochote wafanyacho, lazima kizae FAIDA. kihalali au kiharamu. Huo ndio ukweli kwa kila mfanyabiashara au mwekezaji!
 
Kumbe mambo ndivyo yaliyo!
 
Unasema
Ila katika mtu anayeongoza kutoa maboko ni wewe
 
Injinia hersi ni suriyama wa kigogo kwa upande wa mama na ni msomali kwa upande wa mama,kwa upande wa mama ana udugu na hassan gobbos ambae amewahi kuwa mchezaji maarufu wa yanga akicheza namba 4 na namba 5 wake alikuwa omar kapera
Sio mjamja mjanja,ni mjanja,makini na ni mtu mwenyebinu za uongozi na mdio maana amepata mafanikio makubwa sana huko gsm,yanga na kwenye taaluma yake ya uinjinia wa majengo.Namfahamu vizurino japo yeye hanijui kabisa
 
Eng. Hersi OYEE!
YANGA OYEE
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…