mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #121
Kwahiyo injinia huwa anatumwa tuuKwa mapenzi wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla Tanzania, ni vizuri kwanza kabla ya kutaka kumfahamu Injinia Hersi Saidi, nawashauri jitahid kwanza kumjua Tajiri yake yaani GSM! Hivi kweli Yanga as a club na viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla, mnamfahamu GSM, mfadhili wa Yanga kweli!? Kiufupi labda niwadokeze na kutokea hapo nanyi muanze utafiti wenu; utafiti utakawapa fursa, mwanga na mwangaza wa kumjua mfadhili wa Yanga. GSM stands for GHARIB SALIM MOHAMED. Huyu ndiye mmiliki wa hiyo kampuni inayofadhili Yanga, GSM. Huyo mmiliki anasaidiana na mdogo wake aitwaye SAID SALIM MOHAMED. Hawa ndio walikuwa wamiliki wa kampuni moja iliyokuwa hapa nchini ikiitwa HOME SHOPPING CENTRE, mnaikumbuka HOME SHOPPING CENTRE na vituko vyake dhidi ya Serikali yetu, hasa ya awamu ya tano? Injinia ni mwajiriwa wao tu, labda kwa vile anaijua mikingamo ya humu nchini.
Hawa walikuwa wakidaiwa sana na TRA, wakaona isiwe taabu wakajitangaza WAMEFILISIKA ili wasilipe kodi. Mnafahamu hilo. Leo wamekuja kama GSM na kujiingiza kwenye soka letu kwa bidi sana. Wana nia njema na nchi hii kweli? Wana nia njema na soka letu kweli? Au ni njia nyingine ya kutaka utajiri wetu through football? Worse still these guys are not citizens of Tanzania nor are they investors. Hawa ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu, they are after FAIDA. Kama hakuna faida, hapo siyo pao. Tusubiri tuone na infact mambo mengi juu ya GSM yataibuka tu, Watanzania hawanaga SIRI. Kwaheri kwa sasa.
Sasa hapo injinia anaona ndio nafasi ya kuuaga umasikini
GSM nae anaona Yanga ndio njia ya kumkaribia Mo kwenye pesa