Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Kwa mapenzi wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla Tanzania, ni vizuri kwanza kabla ya kutaka kumfahamu Injinia Hersi Saidi, nawashauri jitahid kwanza kumjua Tajiri yake yaani GSM! Hivi kweli Yanga as a club na viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla, mnamfahamu GSM, mfadhili wa Yanga kweli!? Kiufupi labda niwadokeze na kutokea hapo nanyi muanze utafiti wenu; utafiti utakawapa fursa, mwanga na mwangaza wa kumjua mfadhili wa Yanga. GSM stands for GHARIB SALIM MOHAMED. Huyu ndiye mmiliki wa hiyo kampuni inayofadhili Yanga, GSM. Huyo mmiliki anasaidiana na mdogo wake aitwaye SAID SALIM MOHAMED. Hawa ndio walikuwa wamiliki wa kampuni moja iliyokuwa hapa nchini ikiitwa HOME SHOPPING CENTRE, mnaikumbuka HOME SHOPPING CENTRE na vituko vyake dhidi ya Serikali yetu, hasa ya awamu ya tano? Injinia ni mwajiriwa wao tu, labda kwa vile anaijua mikingamo ya humu nchini.

Hawa walikuwa wakidaiwa sana na TRA, wakaona isiwe taabu wakajitangaza WAMEFILISIKA ili wasilipe kodi. Mnafahamu hilo. Leo wamekuja kama GSM na kujiingiza kwenye soka letu kwa bidi sana. Wana nia njema na nchi hii kweli? Wana nia njema na soka letu kweli? Au ni njia nyingine ya kutaka utajiri wetu through football? Worse still these guys are not citizens of Tanzania nor are they investors. Hawa ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu, they are after FAIDA. Kama hakuna faida, hapo siyo pao. Tusubiri tuone na infact mambo mengi juu ya GSM yataibuka tu, Watanzania hawanaga SIRI. Kwaheri kwa sasa.
Kwahiyo injinia huwa anatumwa tuu
Sasa hapo injinia anaona ndio nafasi ya kuuaga umasikini
GSM nae anaona Yanga ndio njia ya kumkaribia Mo kwenye pesa
 
Upo sahihi lengo ni kuwa na 'Power' , power ni ulinzi mkubwa sana katika jamii.ndo maana MO haoni ajabu kusema " magufuli hoyeeeee ". Ili kuilinda nguvu yake kibiashara.
Hapo ulitaka kuandika Andrew Chenge au Andy Chande!? Anyway unachosema ni kweli kabisa, hawa GSM kama wafanyabiashara wengine wote, wanazo pesa ila wanachotafuta ni hiyo"power" - kwa maana yoyote ile - hapa kwetu, si unajua hao ni wageni, ni wa YEMEN, hivyo wanataka wajijenge hapa nchini na kutafuta utajiri zaidi kwani this country is rich ndugu yangu asikwambie mtu. Kuna utajiri wa mali asili na wa kila aina ili mradi ujue namna ya kutumia hizo fursa na hasa hasa kama una pesa zako za kufanyia hizo biashara - kwa njia za halali na hata za haramu. GSM wana maduka mengi na biashara nyingi ikiwa na hii ya "kuwekeza" Yanga. Pia hawa ni wafanyabiashara kama alivyo mfanyabiashara yoyote yule, hawezi kuwekeza mahali bila kuwa na uhakika wa kupata FAIDA. Chochote wafanyacho, lazima kizae FAIDA. kihalali au kiharamu. Huo ndio ukweli kwa kila mfanyabiashara au mwekezaji!
 
Kwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
Kumbe mambo ndivyo yaliyo!
 
Huyo muangola alikuwa na mkataba, Tusyenge mnayetaka kusajili alikuwa na mkataba na yule mchezaji mmoja mliyechukua toka kongo ana mkataba na yule mburkinafaso mnayekesha airport ana mkataba ndio maana mliambiwa hamjui mpira mko kama manyani kazi kubweka kama mbwa uneducated
Unasema
Ila katika mtu anayeongoza kutoa maboko ni wewe
 
Habari za saizi aise,

Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie

1. kazaliwa wapi na lini?

2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?

3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?

4. Anacheo gani yanga?

5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?

6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
Injinia hersi ni suriyama wa kigogo kwa upande wa mama na ni msomali kwa upande wa mama,kwa upande wa mama ana udugu na hassan gobbos ambae amewahi kuwa mchezaji maarufu wa yanga akicheza namba 4 na namba 5 wake alikuwa omar kapera
Sio mjamja mjanja,ni mjanja,makini na ni mtu mwenyebinu za uongozi na mdio maana amepata mafanikio makubwa sana huko gsm,yanga na kwenye taaluma yake ya uinjinia wa majengo.Namfahamu vizurino japo yeye hanijui kabisa
 
Back
Top Bottom