Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Kwangu mimi na wewe 1.2 B ni nyingi sana ila kwake yeye Mo ni hela ambayo anaona ndogo kwa kuvunja malengo yake aliyojiwekea.
Hayo mashindano ya kimataifa yataanza lini? Fainali zinachezwa November.
Kwa haraka zaidi labda December au January. Hapo hujazugumzia kwa mfano, Simba ianze na Gor, itabidi wachezaji wote wapimwe halafu wawekwe quarantine two weeks wakiwa Kenya. Hapo patachezeka kweli?
Bado nchi kibao huwezi kuingia na zimefunga shughuli za michezo. Kuna uwezekano mkubwa michuano ikafutwa kwa next season.
 
Mpira unachezwa uwanjani ilikuwaje simba iliwatoa timu ya afrika kusini iliyokuwa na kipa aliyecheza world cup, ikawatoa zamalek waliokuwa mabingwa watetezi wa afrika, al ahly ya misri walifungwa taifa wakiwa na wachezaji wanaocheza kwa mkopo to EPL

Horoya ina cheap players kuliko simba.. na imefika semi final caf champions league wakati nyingi mmeishia robo... na mwaka huu tena horoya imefika semi final ya caf confederations cup

Zesco ameshafika semi final pia akiwa na cheap player kuliko simba

Ni sawa na lyon kumtoa man city haimaanishi lyon ni club bora yenye wachezaji wazuri kuzidi man city

Ama wolves kumfunga liverpool ama manchester utd haimaanishi wolves ni timu yenye wachezaji wazuri kuzidi liverpool ama man utd

Kuna kitu kinaitwa bahati pia kwenye soka.. simba mlipata hiyo bahati kama waliyoipata horoya ama zesco

Jiulize kwa nini simba kufika robo fainali ni story kubwa huku mazembe na mamelodi wanafika kila msimu kwa miaka kibao
 
Hayo mashindano ya kimataifa yataanza lini? Fainali zinachezwa November.
Kwa haraka zaidi labda December au January. Hapo hujazugumzia kwa mfano, Simba ianze na Gor, itabidi wachezaji wote wapimwe halafu wawekwe quarantine two weeks wakiwa Kenya. Hapo patachezeka kweli?
Bado nchi kibao huwezi kuingia na zimefunga shughuli za michezo. Kuna uwezekano mkubwa michuano ikafutwa kwa next season.
Ndio akili zenu za upotolo zinavyowaza, mwanzoni mlitaka ligi ifutwe baadae mkadai mnafukuzia nafasi ya libya kuwa na nyinyi mtawakilisha kimataifa
 
Horoya ina cheap players kuliko simba.. na imefika semi final caf champions league wakati nyingi mmeishia robo... na mwaka huu tena horoya imefika semi final ya caf confederations cup

Zesco ameshafika semi final pia akiwa na cheap player kuliko simba

Ni sawa na lyon kumtoa man city haimaanishi lyon ni club bora yenye wachezaji wazuri kuzidi man city

Ama wolves kumfunga manchester utd haimaanishi wolves ni timu yenye wachezaji wazuri kuzidi man city

Kuna kitu kinaitwa bahati pia kwenye soka.. simba mlipata hiyo bahati kama waliyoipata horoya ama zesco

Jiulize kwa nini simba kufika robo fainali ni story kubwa huku mazembe na mamelodi wanafika kila msimu kwa miaka kibao
Bahati ziko huku kwenu hiyo horoya , lyon, wolves wala huzifatilii kiundani lyon kamfunga psg kwenye fainali ya fa ya kwao unafikiri alibahatisha
 
Habari za saizi aise,

Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie

1. kazaliwa wapi na lini?

2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?

3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?

4. Anacheo gani yanga?

5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?

6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
GSM watakuwa wamenufaika sana na Yanga kuliko Yanga alivyonufaika na GSM.

Before kuingia Yanga GSM walikuwa hawafahamiki sana ila baada ya kuingia Yanga wanasikika masikioni mwa watu kuliko hata AZAM.
 
Bahati ziko huku kwenu hiyo horoya , lyon, wolves wala huzifatilii kiundani lyon kamfunga psg kwenye fainali ya fa ya kwao unafikiri alibahatisha

Real betis na levante ni timu ndogo sana na hazina quality players kama real madrid.. ila zote hizi levante na betis zimemfunga real madrid hii season.. hapo unataka kusema levante ni timu bora na ina quality players kuliko madrid

Kikosi cha kwanza cha real madrid kina watu bora tupu na hakuna mchezaji hata mmoja wa levante anaweza akapata namba katika kikosi cha kwanza cha real madrid ila bado wamemfunga madrid nje ndani.

Africa kuna timu vigogo na zina grade A players kibao ila sio ajabu kuona hizi timu zinafungwa na timu zenye grade b na grade c player

Ndio maana nikatoa mfano wa horoya ambaye ana cheap player kuliko hata simba ila amefika nusu fainali caf champions league na kisha msimu uliofata kafika nusu fainali tena ya caf confederations.. na horoya ameshamtoa mazembe robo fainali .. hii haimaanishi horoya ina wachezaji wazuri kuliko mazembe.. bahati ipo pia kwenye mpira... simba mlipata bahati ya kuwafunga al ahly ila kiuhalisia sio level yenu ndio maana wao waliwafunga 5 nyinyi mkawafunga 1
 
Usipende kufuatilia mpira vibanda umiza.
Horoya ni timu kubwa kuliko Simba, jua hilo sasa.
 
Tuweke facts ndipo tutajua nani anafatilia vibanda umiza na hajui facts za horoya

Weka total cost ya horoya players weka na total cost ya simba players.. weka miundombinu ya horoya na ya simba tulinganishe thamani.. weka na total fans pia wa simba na horoya tulinganishe...

Ukweli simba mo dewji amewekeza hela nyingi kwa simba kuliko uwekezaji walioufanya horoya... simba wana wachezaji wa gharama wengi tu ukilinganisha na horoya, na hata kimashabiki simba ina idadi kubwa ya mashabiki kuliko horoya.. training facility kama simba mo arena na hostel zake horoya wanaanzia wapi kuzipata.. simba inalipa sana wachezaji vizuri kuliko horoya

Swali la ziada je horoya kumfunga mazembe pia na kumtoa robo fainali caf champions league inamaanisha horoya ni club kubwa kuliko mazembe?
 
Kwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
Hata mo kuna fursa kaona simba ndo mana kawekeza na ndo mana
 
Kikubwa furaha kwa mashabiki. Mfano simba kama Mo ana yake kuitumia simba ila mashabiki tunafurahi kushinda mataji na kuwa na umoja, apige tu hizo gela zake! Yaani kama upigaji wake wa hela uko in exchange na kuwapa raha wana simba, tunabariki aitumie tu simba wala hatuna tatizo!
 
Real betis na levante ni timu ndogo sana na hazina quality players kama real madrid.. ila zote hizi levante na betis zimemfunga real madrid hii season.. hapo unataka kusema levante ni timu bora na ina quality players kuliko madrid

Kikosi cha kwanza cha real madrid kina watu bora tupu na hakuna mchezaji hata mmoja wa levante anaweza akapata namba katika kikosi cha kwanza cha real madrid ila bado wamemfunga madrid nje ndani.

Africa kuna timu vigogo na zina grade A players kibao ila sio ajabu kuona hizi timu zinafungwa na timu zenye grade b na grade c player

Ndio maana nikatoa mfano wa horoya ambaye ana cheap player kuliko hata simba ila amefika nusu fainali caf champions league na kisha msimu uliofata kafika nusu fainali tena ya caf confederations.. na horoya ameshamtoa mazembe robo fainali .. hii haimaanishi horoya ina wachezaji wazuri kuliko mazembe.. bahati ipo pia kwenye mpira... simba mlipata bahati ya kuwafunga al ahly ila kiuhalisia sio level yenu ndio maana wao waliwafunga 5 nyinyi mkawafunga 1
Unafahamu maana ya scouting, unafahamu kwanini timu za redbull kama leizburg hazitumii pesa nyingi lakini wana timu bora na wanauza kila siku wachezaji kuna timu kama Borusia dortmund, Atletco Madrid, Atlanta ya Italy ambayo bajeti yake haifikii hata robo ya bajeti ya ac milan lakini kwa sasa wanafanya vizuri.
Ndio maana nilikwambia mpira unachezwa uwanjani na sio majina ya wacheza mpira , wachezaji wazuri wako wengi ila kwa sababu unaishi kwa kukariri unafikiri kwa sababu mchezaji kanunuliwa bei mbaya lazima timu iwe bora .
 
Naona umekuja kwenye point yangu.. kwamba ligi ya Tanzania ni ligi ya grade B na C na D player.. mchezaji mpira ni binadamu.. so hayupo static huwa anabadilika kama akijituma na kupanda grade mfano samatta alikuwa mbagala market kama grade B ama C player.. mazembe walivyokuja scout wao wakamuona wakampeleka mazembe kule alikuwa anaanzia bench mwanzoni ila akakaza na akapanda daraja akawa grade A player.. ndio maana samatta wa mazembe alikuwa anawamudu mabeki wa timu vigogo africa bila wasi wasi sababu walikuwa same grade.. wote grade A players..

Mfano simba Mo ameanza kuwa serious na uwekezaji wa simba.. ila haimaanishi simba imeshakuwa kigogo africa level moja na mazembe, waydad, esperence ama mamelodi.. sababu hizo timu nilizozitaja zina grade A players wengi huku simba bado haijafikia bajeti ya kusajili grade A players.. Mo dewji mwenyewe kwa maneno yake alisema simba anatumia bilioni 3 kila mwaka kwa ajili ya mishahara na gharama zingine.. ila ukienda timu vigogo africa zinatumia zaidi ya bilioni 10 kwa mwaka.. ndio maana ngumu kusikia simba kaenda mazembe kamnunua mchezaji wa kutegemewa wa mazembe kama muleka ama ben malango...ila raja casablanca wana uwezo wa kwenda mazembe na kumnunua ben malango ama muleka bila hofu yoyote sababu bajeti inawaruhusu

Ndio maana nikasema grade A players wa Africa ni ngumu kusajiliwa na timu za ligi ya Tanzania sababu hazina bajeti hiyo.. tunaishia kusajili watu kutoka gormahia.. rwanda, msumbiji etc... ambao sio grade A players timu kubwa vigogo africa haziwataki hao wachezaji
 
Wote simba na yanga janja janja tu..
Usajili wa simba hata hatua ya makundi CAF kufika ni ndoto;
Angalia sajili za AS VITA mdo utaelewa hapa twasajili kwa ajili ya kucheza na gwambina na prison
Kwa hili la usajili nakupinga hata Vita na Mazembe wana sajili za kawaida kabisa, kwa taarifa tu mwaka jana Vita imesajili mchezaji aliye achwa na Simba Zana Coulibaly, na mwaka huu wamesajili mchezaji aliyeachwa na Simba Deo Kanda. Hao Mazembe mwaka jana wamesajili mchezaji aliyeachwa na Azam Hamisi Singano (Mesi) na mtanzania mwingine kutoka Mbeya City Eliud Ambokile.
 
Jeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Manyani tulieni mkamuliwe jibu mpate kupona.
FB_IMG_1596970740939.jpg
 
Naona umekuja kwenye point yangu.. kwamba ligi ya Tanzania ni ligi ya grade B na C na D player.. mchezaji mpira ni binadamu.. so hayupo static huwa anabadilika kama akijituma na kupanda grade mfano samatta alikuwa mbagala market kama grade B ama C player.. mazembe walivyokuja scout wao wakamuona wakampeleka mazembe kule alikuwa anaanzia bench mwanzoni ila akakaza na akapanda daraja akawa grade A player.. ndio maana samatta wa mazembe alikuwa anawamudu mabeki wa timu vigogo africa bila wasi wasi sababu walikuwa same grade.. wote grade A players..

Mfano simba Mo ameanza kuwa serious na uwekezaji wa simba.. ila haimaanishi simba imeshakuwa kigogo africa level moja na mazembe, waydad, esperence ama mamelodi.. sababu hizo timu nilizozitaja zina grade A players wengi huku simba bado haijafikia bajeti ya kusajili grade A players.. Mo dewji mwenyewe kwa maneno yake alisema simba anatumia bilioni 3 kila mwaka kwa ajili ya mishahara na gharama zingine.. ila ukienda timu vigogo africa zinatumia zaidi ya bilioni 10 kwa mwaka.. ndio maana ngumu kusikia simba kaenda mazembe kamnunua mchezaji wa kutegemewa wa mazembe kama muleka ama ben malango...ila raja casablanca wana uwezo wa kwenda mazembe na kumnunua ben malango ama muleka bila hofu yoyote sababu bajeti inawaruhusu

Ndio maana nikasema grade A players wa Africa ni ngumu kusajiliwa na timu za ligi ya Tanzania sababu hazina bajeti hiyo.. tunaishia kusajili watu kutoka gormahia.. rwanda, msumbiji etc... ambao sio grade A players timu kubwa vigogo africa haziwataki hao wachezaji
Sijakuelewa maana unasema ligi ya Tanzania ni grade b na c halafu unazungumzia wachezaji kuwa grade b na c kama kuchezea mazembe unapanda grade basi kina singano ni grade a na kama simba inasajili wachezaji kama kina Fraga basi ni grade a.
Hapa Tanzania ushindani wetu ni mdogo na uwekezaji pia ni mdogo lakini hauhalalishi kusema wachezaji wetu ni low quality hivi unafahamu kwenye afcon iliyopita simba ni miongoni mwa timu iliyotoa wachezaji wengi katika mataifa tofauti.
Tungejikita kiufundi zaidi kuliko kukimbilia kuponda bila sababu unakumbuka Atletco ya Angola iliyomfunga National kwao bao nne sasa hapo utaniambia ligi ya Angola au wachezaji ni grade gani
 
Huyu mzee alisaidia nini timu mda huo. Sawa yapo lakini kwa sasa hawakuwa na msaada kabisa. Awekwe pahala anapo stahili na Mola wake.
Alizaliwa mkoa alikozaliwa mwenye chama cha kula ubwabwa na yeye alikuwa anapenda ubwabwa vilevile
 
Sijakuelewa maana unasema ligi ya Tanzania ni grade b na c halafu unazungumzia wachezaji kuwa grade b na c kama kuchezea mazembe unapanda grade basi kina singano ni grade a na kama simba inasajili wachezaji kama kina Fraga basi ni grade a.
Hapa Tanzania ushindani wetu ni mdogo na uwekezaji pia ni mdogo lakini hauhalalishi kusema wachezaji wetu ni low quality hivi unafahamu kwenye afcon iliyopita simba ni miongoni mwa timu iliyotoa wachezaji wengi katika mataifa tofauti.
Tungejikita kiufundi zaidi kuliko kukimbilia kuponda bila sababu unakumbuka Atletco ya Angola iliyomfunga National kwao bao nne sasa hapo utaniambia ligi ya Angola au wachezaji ni grade gani

Mwalimu wako shuleni alikuwa na kazi sana.. wapi nimesema ukicheza mazembe unakuwa grade A

Soma comment zangu za nyuma vizuri.. nimeandika timu vigogo africa zina grade A players wengi hasa 1st eleven zao... hakuna sehemu niliyosema wachezaji wote wa timu vigogo ni grade A... mifano ya mazembe nimetaja majina ya wachezaji watatu tu.. sasa wewe unataja timu nzima ya mazembe.. nimemtaja ben malango ambaye aliuzwa sasa hivi yuko raja.. na nikasema timu za tanzania huwezi kuona zinaenda mazembe kumnunua mtu kama ben malango ama muleka.. nikatoa mfano wa samatta jinsi alivyopanda grade.. na nikasema hata alivyofika mazembe alikuwa anatokea benchi mwanzoni . Ila samatta akakaza na akapanda grade akawa anawasumbua.. mifano yangu nimetaja wachezaji bora tupu.. wewe unataja majina ya wachezaji wanaotokea benchi hizo timu kubwa

Nikauliza swali lini umewai kusikia timu kutoka Tanzania imeenda kwa timu kubwa africa na kumsajili mchezaji tegemezi wa hiyo timu kubwa kama raja walivyofanya kwa ben malango... mchezaji akija kucheza tanzania kutoka timu kubwa ni anakuja kwa mkopo ama amechwa kule na timu kubwa hana namba ya kuanza.. hakuna mchezaji grade A wa timu kubwa anaekuja Tanzania kwa kununuliwa maana thamani ya wachezaji grade A wa timu kubwa ni bei juu sana hatuna bajeti hiyo

Timu kubwa pia zina grade b players pia.. ila zinafanya vizuri sabab wana grade A players wengi katika timu zao... huku sisi hatuna grade A players hata mmoja
 
Back
Top Bottom