Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hayo mashindano ya kimataifa yataanza lini? Fainali zinachezwa November.Kwangu mimi na wewe 1.2 B ni nyingi sana ila kwake yeye Mo ni hela ambayo anaona ndogo kwa kuvunja malengo yake aliyojiwekea.
Kwa haraka zaidi labda December au January. Hapo hujazugumzia kwa mfano, Simba ianze na Gor, itabidi wachezaji wote wapimwe halafu wawekwe quarantine two weeks wakiwa Kenya. Hapo patachezeka kweli?
Bado nchi kibao huwezi kuingia na zimefunga shughuli za michezo. Kuna uwezekano mkubwa michuano ikafutwa kwa next season.