Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

wakuu habari za pamumziko ya Jumapili bado nakumbushia ombi langu
Mkuu wakati unaendelea kucheki cheki huku na kule uwe unafuatilia ile ishu ya ujenzi wa SGR ya Mza to Isk usiache kabisa kufuatilia muda si mrefu wanatarajia kuanza mchakato na maandalizi..

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Naam Mkuu mwisho wa Mwezi huu nitaenda Mwanza Mkuu kufatilia huo mradi
 
Naam Mkuu mwisho wa Mwezi huu nitaenda Mwanza Mkuu kufatilia huo mradi
mkuu tupo pamoja mtaftaji mwenzako mimi ni operator wa excavator natarajia kwenda mwanza kusotea kwenye mradi huo.
 
Mkuu mimi ni civil engineer graduate mpk saa hv cna kazi kwa sasa nipo Arusha ila kama dar kuna mchongo wa uhakika fasta nakuja nimemaliza bachelor ya civil engineering mwaka juz arusha tech.
Unaweza kufanya as project manager?
 
Back
Top Bottom