Mkuu wakati unaendelea kucheki cheki huku na kule uwe unafuatilia ile ishu ya ujenzi wa SGR ya Mza to Isk usiache kabisa kufuatilia muda si mrefu wanatarajia kuanza mchakato na maandalizi..wakuu habari za pamumziko ya Jumapili bado nakumbushia ombi langu
Naam Mkuu mwisho wa Mwezi huu nitaenda Mwanza Mkuu kufatilia huo mradiMkuu wakati unaendelea kucheki cheki huku na kule uwe unafuatilia ile ishu ya ujenzi wa SGR ya Mza to Isk usiache kabisa kufuatilia muda si mrefu wanatarajia kuanza mchakato na maandalizi..
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Itakuwa poa sana.Naam Mkuu mwisho wa Mwezi huu nitaenda Mwanza Mkuu kufatilia huo mradi
Mkuu mimi ni civil engineer graduate mpk saa hv cna kazi kwa sasa nipo Arusha ila kama dar kuna mchongo wa uhakika fasta nakuja nimemaliza bachelor ya civil engineering mwaka juz arusha tech.Kama upo Dar na bado huna kazi ni PM
mkuu tupo pamoja mtaftaji mwenzako mimi ni operator wa excavator natarajia kwenda mwanza kusotea kwenye mradi huo.Naam Mkuu mwisho wa Mwezi huu nitaenda Mwanza Mkuu kufatilia huo mradi
mkuu nipe nafasi ya kibarua tafadhali ila taaluma yangu ni operator wa excavator sina kazi kwa sasa ila nipo tayari kufanya kazi yoyote .Kama upo Dar na bado huna kazi ni PM
Unaweza kufanya as project manager?Mkuu mimi ni civil engineer graduate mpk saa hv cna kazi kwa sasa nipo Arusha ila kama dar kuna mchongo wa uhakika fasta nakuja nimemaliza bachelor ya civil engineering mwaka juz arusha tech.
Mkuu kama Kuna nafasi ya civil technician naomba kaz ni nina experience ya miaka mitanoUnaweza kufanya as project manager?